King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,957
- 98,073
akumtaja jina
Ndo huyo huyondio huyu huyu jamaa ambaye kawavua kyupi asilimia 80 ya wanawake wanouza kwenye maduka yake?
Hata awe mke wa mtu
watz tushaambiwa ccm kidumu, why tusichague chadema ambacho ni pipa? Tutahukumiwa kwa ugumu wetu aiseee
wabongo hapo mshapata nafasi ya kuchafuana.hiyo inahusu Ninni na hawa punda walioko sasa??Ni Sauli Amon aka S.H AMON Alianza baada ya kupewa mchongo na mtu wa kwanza kuleta madawa kutoka italy,italy shoes.
.......................................
Ukipata Ujumbe wa chuki au matusi futa delete kabisa.
.......................................
Saul Amon,yule tajiri wa kinyakyusa?
ningeshangaa huyu mtu asingekuwa mmojawao. Siwezi kupinga hata chembe ushiriki wake. Huyu jamaa kuna kipindi aliisahau nyumba yake aliyojenga mikocheni, mpangaji alikaa zaidi ya miaka miwili bila kodi. Bahati nzuri siku ya kuitembelea hakumtoza kodi.
UZUSHI MTUPU HU. SH Amon ameanza biashara zamani kabla ya majina makubwa kama Mengi na Dewji mbunge. Alianza na kuvusha sukari na baadaye vipodozi vilivyopeleka kujenga kiwanda Salasala. Kwenye list ya Balali aka EPA mara kadhaa ametajwa, lakini mpaka leo hajakamtwa, inawezekana ushahidi hautoshi. Ni mtu consistent katika biashara na anasimamia kile anachokijua na kuamini. Isingekuwa kutokwenda shule kubwa labda angekuwa billionea mkubwa kabisa EA.
Tujitahidi kutafuta data na is kuzusha hovyo hovyo.