Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,337
8,433
Habari wakuu,

Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula Yale ya kupikia

Mtaji nataka kuanza na dungu 50 mwenye kufahamu changamoto ya biashara hiii ushauri please

IMG-20190916-WA0057.jpg
1.JPG
 
Ina kupanda na kushuka sana hii biashara.
Nakumbuka kipindi nauza rejareja, leo dumu 90,000, kesho keshokutwa chuma kimeshuka mpaka 70.

Kua mjanja na mharaka wa kupata infos. Epuka kuchanganya mafuta utakimbiza wateja.
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom