Kweli mkuuKweli maendeleo na changamoto zake, nimekumbuka gazeti la RAI, badae ikaja RAIA MWEMA
Mzee upatikanaji wa tarifa za habari umekuwa mwepesi sana, uwepo wa smart phone majukwaa ya kijamii mitandaoni mfano face book Instagram, WhatsApp, twitter nk chanzo cha kushuka kwa uuzaji wa magazeti mitaani
Sasa wandishi wanategemea habari kutoka mitandao ya kijamii ndio wakandike unategemea nini mfano mzuri kipindi mange kimambi ana deal na serikali yani story unaisoma kwa mange mchana kesho unaiona kwenye gazeti sasa hilo gazeti utanunua la nini ikiwa source ya tarifa hiyo unajua na umeisoma na muendelezo unajua the same tu magazeti ya udaku hivyo hivyoNchi za wenzetu magazetu bado yanapatina na yasomwa kila leo, na mwenyewe ndo wana maendeleo ya utandawzi na utandawazi ulianzia kwao.
Hakuna anayesoma magazeti wala kusikiliza taarifa za habariMiaka miwili nyuma kushuka chini ilikuwa ni kawaida sana kukutana na vijana wakiwa na magazeti mkononi wakitembeza hapa na pale kutafuta wateja na yalikuwa yakinunuliwa kweli kweli,
Sehemu hizi ndo ilikuwa senta muhimu ya wauza magazeti kupata pesa, kwenye mabar, saluni aina zote, kwenye vijiwe vya Kahana nk.
Siku za usoni nimekuwa sioni tena hawa vijana wanaotembeza magazeti, nini sababu hadi wote kuishia mitini.
You kill it, et nitoe hela ninunue uhuru, mzalendo, Tanzanite and the likes hyo hela ni bora nikatoe sadakaPeople dont read shithole papers.
Hakuna tena magazeti yenye HABARI ...yapo lakini yana habari soo wengi wanapotezea ... Mfano Mimi nina miaka3 sasa sijanunua gazeti loloteKwanini hapa kwetu imekuwa hivyo
Ukinunua gazeti la leo means unataka kupata habari za Jana, labda yale magazeti ya Jioni kama ilivyokua Alasiri kipindi kile. Sasa unadhani habari za Jana si wengi tu wenye interest na habari walizipata Jana hiyo hiyo through other media and social networks.Miaka miwili nyuma kushuka chini ilikuwa ni kawaida sana kukutana na vijana wakiwa na magazeti mkononi wakitembeza hapa na pale kutafuta wateja na yalikuwa yakinunuliwa kweli kweli,
Sehemu hizi ndo ilikuwa senta muhimu ya wauza magazeti kupata pesa, kwenye mabar, saluni aina zote, kwenye vijiwe vya Kahana nk.
Siku za usoni nimekuwa sioni tena hawa vijana wanaotembeza magazeti, nini sababu hadi wote kuishia mitini.
Hata Tanzania Daima hununui? Maana nao hali mbayaYou kill it, et nitoe hela ninunue uhuru, mzalendo, Tanzanite and the likes hyo hela ni bora nikatoe sadaka