Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,190
- 2,652
Sasa kama hao kwenye video ndo uwaambie elimu ni ufunguo wa maisha wakati umalaya kwao unalipa ,mtu kwa mwezi anaingiza Hadi 1 million mpaka 3 million unadhani umalaya utaisha kirahisi?
Kwa kifupi biashara ya umalaya haitokaa ije iishe hata tufanye maombi miaka nenda rudi ndo kwanza itazidi kustawi serikalin ijikite na mambo mengine tu na sio kukimbizana na umalaya ambao mtu anatumia mwili wake mwenyewe.