Biashara ya kufanya kwa graduate/ushauri

Bobo

Member
Aug 20, 2011
54
8
Habari zenu wakubwa. naomba ushauri wa biashara ya kufanya,mimi ni kijana niliye graduate mwaka huu ila mpaka sasa sifikirii kuajiriwa nahitaji kujiajiri mwenyewe ili baadaye na mimi nitoe ajira kwa watanzania wenzangu,nimejikusanya na kupata million 3.5 ,kabla ya hapa nlifikiria biashara ya kufuga kuku wa kienyeji kutokana na capital yangu lakini tatizo likawa ni market kwa hao kuku kama kwenye mahotel makubwa n.k,kama mtu anaweza kunipa ushauri ni biashara gani nyingine inaweza kunikomboa kwa kutumia mtaji wangu mwenyewe.
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,816
4,029

Unaweza kutuambia una taaluma gani? Unaweza kupata ushauri wa kitu cha kufanya sawasawa na taaluma yako uliyosomea.
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,816
4,029
<br />
<br />
nnataaluma ya maswala ya community devt.

Mbona kazi za kujiajiri kupitia taaluma hiyo ziko nyingi sana. Cha msingi usione aibu kabisa ktk kutimiza ndoto zako, pili usiogope kwenda mbali kutafuta fursa zaidi. Miji mingi midogo haina day care centers za kisasa kwa watoto wetu. Nenda ktk miji hiyo, waone Ustawi wa jamii wa mji/sehemu husika, peleka proposal yako ya malezi ya watoto saa za mchana, watakusajiri,anza kuwafundisha kwa hela kidogo sana huku ukiboresha mazingira ya center yako kwa kuweka vijuice, karanga kwa watoto nk.

Ukiona kijiwe kinachanganya, unaanza kuongeza huduma zingine(,sio bar tafadhali) kama twishen center nk. Kijiwe kikinoga,anzisha shule ya vidudu kabisa.
 
Richardbr

Senior Member
May 29, 2011
110
25
Mkuu nilifikiri kuwa hapa sio mahali pa utani mtu anahitaji ideas wewe unongea shortcut ili kwamba uelewekaje?next time jifunze ustaarabu
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,037
1,828
Kama uko moshi nakushauri uanze kilimo cha umwagiliaji,kinalipa sana kwa sasa..lima v2 ka nyanya,vi2nguu na mboga mboga.
 
Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,470
272
Mbona kazi za kujiajiri kupitia taaluma hiyo ziko nyingi sana. Cha msingi usione aibu kabisa ktk kutimiza ndoto zako, pili usiogope kwenda mbali kutafuta fursa zaidi. Miji mingi midogo haina day care centers za kisasa kwa watoto wetu. Nenda ktk miji hiyo, waone Ustawi wa jamii wa mji/sehemu husika, peleka proposal yako ya malezi ya watoto saa za mchana, watakusajiri,anza kuwafundisha kwa hela kidogo sana huku ukiboresha mazingira ya center yako kwa kuweka vijuice, karanga kwa watoto nk.

Ukiona kijiwe kinachanganya, unaanza kuongeza huduma zingine(,sio bar tafadhali) kama twishen center nk. Kijiwe kikinoga,anzisha shule ya vidudu kabisa.
Kwa kuongzea... Kuna bwana mmoja pale BAKWATA(jirani na Hosteli za UDSM Mabibo) anafanya hii kitu.. anaiendesha vizuri naona watu wanaongezeka...atembelee ale ajifunze zaidi..
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,816
4,029
Kwa kuongzea... Kuna bwana mmoja pale BAKWATA(jirani na Hosteli za UDSM Mabibo) anafanya hii kitu.. anaiendesha vizuri naona watu wanaongezeka...atembelee ale ajifunze zaidi..

Ni mpaka mhusika awe ameikubali idea yenyewe.
Vinginevyo itawafaa wengine.
 
SolarPower

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
223
27
Habari zenu wakubwa. naomba ushauri wa biashara ya kufanya,mimi ni kijana niliye graduate mwaka huu ila mpaka sasa sifikirii kuajiriwa nahitaji kujiajiri mwenyewe ili baadaye na mimi nitoe ajira kwa watanzania wenzangu,nimejikusanya na kupata million 3.5 ,kabla ya hapa nlifikiria biashara ya kufuga kuku wa kienyeji kutokana na capital yangu lakini tatizo likawa ni market kwa hao kuku kama kwenye mahotel makubwa n.k,kama mtu anaweza kunipa ushauri ni biashara gani nyingine inaweza kunikomboa kwa kutumia mtaji wangu mwenyewe.

Nakupongeza kwa kuamua kijiajiri. Mimi binafsi nakushauri uwezekeze katika mradi wa kuwajenga vijana wa kitanzania kupitia vitabu hasa kwa wale walioko shuleni na katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Tuwasiliane kupitia 0654 467758 kwa ushauri na mazungumzo zaidi. Unaweza nitumia SMS katika namba hiyo.
 
chitambikwa

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,941
899
kudariz ni kazi nzuri sana ,uache kutegemea wazazi. Pia jitahidi kujifunza kuendesha gari kama michongo haijakaa sawa
 
Bobo

Member
Aug 20, 2011
54
8
@Senator,
npo dar,ila c kwamba itakuwa kikwazo cha mm kuacha kutafuta lyf mahali pengine,lakini moshi ni mgeni sana hapo,ila nataka nikachek Moro-Kilombero,nahisi kilimo kwanza kitanitoa. Nashukuru kwa ushauri wako,ntakupa feedbac zaid
 
  • Thanks
Reactions: LAT

Makindi N

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
1,066
173
Habari zenu wakubwa. naomba ushauri wa biashara ya kufanya,mimi ni kijana niliye graduate mwaka huu ila mpaka sasa sifikirii kuajiriwa nahitaji kujiajiri mwenyewe ili baadaye na mimi nitoe ajira kwa watanzania wenzangu,nimejikusanya na kupata million 3.5 ,kabla ya hapa nlifikiria biashara ya kufuga kuku wa kienyeji kutokana na capital yangu lakini tatizo likawa ni market kwa hao kuku kama kwenye mahotel makubwa n.k,kama mtu anaweza kunipa ushauri ni biashara gani nyingine inaweza kunikomboa kwa kutumia mtaji wangu mwenyewe.

Elimu ya juu huwa ni competence based or work based..... Tanzania elimu yetu ni competence based ambayo kama ume-graduate kweli sioni ni kwanini ufikirie kufuga kuku. Na watanzania wengi ambao hawajasoma wafikirie nn? Wafikirie mambo ya community development? Watanzania sijui tumelogwa? Kwanini ulienda soma sasa? Unataka utoe ajira ya ufugaji kuku kwa waliosoma community development au?
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom