Akotia
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 569
- 1,348
Natokea Arusha,Kahawa ni zao kubwa la biashara. Sababu nimekulia Dar,mwaka juzi kwa kuchoshwa na kunywa kahawa mbovu na chini ya kiwango nikaamua niwe naagiza green beans kutoka Arusha,nakaanga mwenyewe na kutumia pamoja na kugawa kwa familia.. kipindi hiko nafanya kazi sehemu kwahiyo sikuchukulia serious sana kuifanya iwe biashara. Mwaka jana mapemaa nikaacha kazi yangu ghafla kwa matatizo huku nikiwa sina backup plan(accountant). Nikasota sana mtaani lakini bado wanafamilia na marafiki wakiwa wanataka kahawa wananitafuta mimi. Nikaamua niifanye biashara rasmi kabisa ili nisife njaa..
Sasa hivi nimekua nikiongeza wateja kila mara na wateja wa kujirudia rudia wengi. Bado ofisi yangu nafanyia nyumbani na mtandaoni. Wateja wanaongezeka kila siku na nimepata mwangaza mpya kwenye maisha yangu. Kahawa yangu ni fresh na kila siku na roast batch mpya from Dark roast to medium.
Hii ni website yangu www.brewa.co.tz