jamaa ana tengeneza mabilioni kwa sekunde ila ana muda wa kubishna JF wiki nzima
 
Mwl.Rct huna baya nakukubali tokea kitambo ktk maswala ya trading upo vyema alafu ni mtu hamble sana ata nikisomaga bandiko ata comment naona na kufeel utaratibu na maarifa yako, natamani kujuwa sana safari yako adi ulipofikia adi sasa ila upogo lowkey sana i will see you FF
 
Elisha Chengula Mjasiriamali wa moto moto😅

Hapa biashara ni
referral links
Agent fees
Kuuza robot

View: https://youtu.be/_JpCmj_haWI GBPUSD: Signal iko active: Special Thread: COT Data Analysis & Trading Signals
 
Nampata sana Mwl.RCT
 
Nla

Naomba unijibu kwann uwek used 100 u trade kwa mtaji $100,000
leverage ni hela ya mkopo lakini huezi kuitoa, in most times hua ni fake money its only typed, unapewa leverage ili liquidation price yako iwe karibu zaidi
 
Asante kwa kuwasanua wana🤣🤣
 
Hii ulipiga katika mshono
 
leverage ni hela ya mkopo lakini huezi kuitoa, in most times hua ni fake money its only typed, unapewa leverage ili liquidation price yako iwe karibu zaidi
Hii concept yako sio kuwa ni Ile wanakupa margin aka buying power kwenye real proprietary trading firms zile legitimate kabisa sema unaweka initial margin to cover loss. Sema kwa Hawa cfd brokers anakupa leverage.na ukicheki Kama kiatu kimoja Ila Sasa hao stocks brokers ambao Wana desk ya prop wanavyojifagilia kuwa wao hawatoi leverage Ila wanatoa margin/buying power
 

leverage yoyote anaweza kutoa, leverage nibiashara kwa sababu lazima uje kulipa interest, chukua huu mfano: na $100 ukipewa leverage ya 100x maaana yake mtaji wako sasa ni 10,000, labda tuseme EURUSD bei ni 1.2, ikishuka mpaka 1.1 mtaji unaopuputika ni ile $100 yako ila kwa spidi kubwa kwa sababu unatakiwa kubeba mzigo wote,

at the end lazima ulipe mtaji na interest ata kama ulichoma akaunti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…