Biashara ya forever living

Biashara ya forever living

Hii ni aina ya 'pyramid scheme'. Wanafaidika wachache wa mwanzo kwenye 'ncha', wengine wengi kwenye 'kitako' wanalizwa. Siyo biashara endelevu.
 
Tatizo letu na hasa Watanzania ni kujigeuza kuwa watabiri/waganga wa kienyeji hata kama kitu hukijui ni lazima ujaribu kubashiri unavyoelewa au unavyopenda wewe au ulivyoambiwa na mtu fulani,mleta mada anahitaji majibu sahihi na si utabiri.Kama mtu hajui chohote aseme sijui hakuna mtu wa kumcheka asiyejua.

Naomba niseme maneno machache kuhusu biashara hii,Cha kwanza biashara hii ningeni sana huku kwetu kwa hiyo inahitaji elimu ya kutosha,pili zimewahi kuwepo baadhi ya makundi ya kitapeli ambayo yametia doa biashara hii lakini yako makampuni dhabiti kweli na yanaheshimika duniani na Foreva ikiwa mojawapo.

Kila kampuni ina taratibu za incentives/bonus kwa members wake na si prymid scheme kama wadau wengine wanavyodai ni kila member anapata bonus kadri ya daraja aliko.na kanuni za kukotoa bonus ziko wazi unaweza ukazisoma na hata mwenyewe unaweza kokotoa bonus yako ukiwa nyumbani.

Kwakuwa ni mfumo mpya wa biashara kwa maneno mafupi ni biashara ambayo bidhaa ikinunuliwa watu wote waliko kwenye mtandao ummoja wanapata mgao kidogokidogo na kadri bidhaa zikiendelea kununuliwa ndipo bonus huongezeka haijalishi ni wewe umeuza ila cha muhimu ni mtandao/chain yako.

Tatizo nini kwenye jamii yetu ni uzushi unaoendelea kuzuka kila siku sijui wanaofanya biashara hii ni watu fulani.Nawahakikishia element hizi zimepandikizwa na watu wajanja ili tuendelee kuwa masikini ili hali wenzetu wanasonga mbele kimaendeleo.

Niwaombe sana ukisikia kitu jaribu kutafiti vizuri ili upate uhakika na unachosema,na si kweli kwamba ni biashara ya kutembeza bidhaa ni njia ya kusambaza taarifa ili kila mtu akanunue bidhaa sehemu husika na kwakuwa ni biashara number moja inayokuwa kwa kasi imetishia aina zingine za biashara ndio sababu ya kutokea uzushi mwingi ili aina hii isikue kwa kasi inayokuwa wakati wasasa.

Sifa kuu ya biashara hii inaweza kumtajirisha mtu wa aina yeyote mwenye fedha na hata ambaye hana kwani mtaji wake ni mdogo sana.hata ukiwa mbishi jaribu kutaja biashara ya aina yeyote inayoweza kumtajirisha mtu ambaye hana mtaji mkubwa.Baadhi ya matajiri wakubwa nduniani wanafanya biashara hii na Dunia inawaheshimu.

Changamoto kubwa kwenye biashara hii ni kushindwa kupata members wengi na wakiwa active kwamaana ya kununua bidhaa na kuendelea kuingiza distributors wengi kwenye chain yako hapo ndiko kwenye bonus ya kutosha,ukijaribu ukishindwa usilete visingizio kwani mfumo wake uko imara na ndio sababu watu wengine wanaendelea kutajirika.

Ukiingia na kufanya biashara hii kwa juhudi zako zote bila kusahau na suala la kujifunza ndani ya miaka 3-5 utakuwa na uwezo wa kupata milion 5-10 kila mwezi,Semeni wajuzi ni ajira ipi inaweza kukupatia kiasi hicho cha fedha ilihali unaifanya kwa muda wa ziada,ni kama masaa mawili kila siku.

Kwa leo niishie hapo ila na wahakikishia hata kama hufanyi biashara hii ukifanikiwa kuingia kwenye mafunzo utajifunza mambo makubwa ya maisha kwani mafunzo yanayotolewa huzungumzia elimu ya maisha kwa ujumla.
 
BIASHARA YA MTANDAO NI NINI
ni mfumo wa biashara ya karne ya 21 ambayo inakupa fursa ya kumiliki biashara yako mwenyewe kwa mtaji kidogo na bla kuathili shughuli zako zngne, na hatimaye kujitengenezea kipato endelevu pasipo kutumia nguvu,mda na akili nyingi sana.

RIFARO AFRICA LTD
wao wana sema "SIMU YAKO JEMBE LAKO"
1. Je, umewahi kulipwa kwa matumizi yako ya vocha?
2. Je ,unajua kuwa vocha ni bidha inayoweza kukupa kipato kikubwa cha ziada?

Rifaro Africa ltd ni kampuni ya kitanzania inayofanya biashara ya mtandao kupitia mda wa maongezi(vocha) kwa kushirikiana na makampuni ya TIGO,VODACOM,AIRTEL NA ZANTEL

UHALALI WAKE,
leseni no.178933
Tin no.124-401-917
Brela reg.no 109753
Tcra no.15420

INAFANYEJE KAZI

1.Mfumo huu utakuhitaji kuwa mwanachama hai WA Rifaro, mtumiaji WA vocha NA pia kuwashirikisha ndg,jamaa,na MARAFIKI kujiunga kwenye biashara hii.

UNAFAIDIKAJE
1.kipato cha wiki
Hiki kinalipwa kutokana NA watu wanaojiunga katika timu ya biashara yako kulipwa kwa vizazi 15.

2.kipato cha mwezi
Hiki hulipwa kutokana na matumizi yako ya mda wa maongezi pamoja NA matumizi ya timu yako. Malipo hufanyika kila mwisho WA mwezi.mwanachama anatakiwa awe ametumia Tsh.15000/=

3.UNACHOTAKIWA KUFANYA
Ni kuiona fursa NA kukubali kuwa ni yako,kisha uwe NA mtaji kidogo sana WA Tsh.128500/= kuanza biashara Hii maridhawa

4. UTAKAPO JIUNGA UTAPEWA
a. Namba ya uanachama
b. ATM card (2000/=Salio ndani take)
c. Kitabu cha biashara
d.website( kukuwezesha kuingia kwenye ofisi yako,kuna biashara yako yote)
e.DVD ya mafunzo
f.5000/= Salio vocha
Vyote hivyo hutolewa bure kabisa Mara baada ya kujiunga.

SASA UTAJIUNGAJE?

Popote ulipo Tanzania tumekufikia, tuna vituo vyetu karibu nchi nzima

Unachotakiwa ni Tsh.128500/=,kitambulisho chako, simu yako ya mkononi(yoyote) namba yangu ya uanachama ni OBADIA LUYAGAZA -R528559

WASILIANA NAMI KUPITIA
obadialuyagaza@gmail.com
0657774409
0753416810
Wakati wowote.
 
Back
Top Bottom