Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Bado namfukuzia nina siku ya tatu leo namtafuta siwezi kukata tamaa mpaka mimlambe tu
Afu tangu jana nko Dom aiseeeeeeee, baaadaye tuna plan ya kwenda rainbow, Kama vipi ibuka nikupe chombo kimoja Cha human rights watcher uitafune mzee baba..
 
Dogo zero,..ushawai fanya hii biashara...mim hapo katkat baada ya kuona thread nyiing za kuisifia hii biashara,nikasema ngoja niifanye sasa kwa ukubwa,.maanina kilichotokea nikwamba biashara imekufa na mi vifaa imebid niiweke kupatana nmeuza yote
Na nilinunua vifaa vya garama.freezers..majiko makubwa ya gas yale,makabat,meza za kisasa,nilijenga hadi counter.. inshort nilifungua kitu kikubwa ile tent/kibanda tuu ya watu kukaa na biashara ilinicost 3.2m ila useng.e wa biashara hii ndo ulifanya ife

1.vijana wa kaz naona walitumana kuja kufilisi,maana nilikua na vijana wakiume wa4 wakike wa2
2.unakuta napewa report huyu jana kaondoka na mafuta ya kula huyu kaondoka ma mguu wa mbuzi ulibak huyu kaiba blender etc,mwisho wa siku wakaanza kuiba had viti vya kukalia

Ku.***** hii biashara ukitaka faidika nadhan uwe mpishi mwenyew

Nisiongee sana..ila nmeiona biashara ya ki.senge sana..watu badala waje kufanya kaz wanakuja kukuibia
 
Kila biashara ukiichukulia poa lazima ikuangushe mkuu,
Ulichokosea wewe ni kuwa mshikaji kwa wafanyakazi wako na sio boss,
Hatukatai kuna muda boss lazima huwe fair lakini ni Kwenye mambo personal tu na sio kwenye biashara yenyewe,

Ungeanza na huyo aliyeiba brenda ungemtia ndani siku mbili tu angetoka hapo hao wengine wangenyooka, ata kijiko kupotea wangejichanga kununua ili usigundue na hivi ndivyo biashara ilivyo,

Ukicheka na Nyani lazima uvune mabua.
 
Mkuu bihashara nimeanza tayarii, kiukweli jf ni sehem nzur sana yakupata elimu na ujasiri wa kufanya jambo,
Bihashara yangu inaweek 2 tu mpaka sasa,
Plan yangu nikuitathimini kwa mda wa week 3 then nitaweza kusema ikoje,

Ushauri wangi kwako ni anza kufanya usisubiri kukatishwa tamaa, changamoto utajifunzia mbeleView attachment 750706
Mkuu kama hutojali unawea nisaidie gharama za Hii Deep fryer yako na capacity yake pls.
 
Mkuu kama hutojali unawea nisaidie gharama za Hii Deep fryer yako na capacity yake pls.

Usinunue deep frier ya dukani ka una mipango ya muda mrefu kwenye hii biashara, Kachonge deep frier kubwa na zenye uimara na uwezo zaidi kwa wale wachonga majiko wa keko gerezani karibu na workshop ya Bakhresa
 
Biashara ya chipsi ni nzuri sana kani ndio chakula kikuu kwa raia wa Da Es Salaam bila ya kuangalia jinsia zao. Cha msingi nikuweka malengo ya biashara yako unataka kuifanya kwa mfumo gani, kuna majiko ya gas mengine ya umeme mengine ya mkaa cha msingi ni kuangalia bidhaa gani utapata kwa thamani gani ili kupunguza gharama za uendeshaji, biashara ni jitihada na bidii ya anayeifanya hiyo biashara ila ukisikiliza sana maneno ya wengi basi utaacha kufanya hiyo biashara
 
Back
Top Bottom