Biashara ya Bodaboda

Biashara ya Bodaboda

Huu uzi nimeupitia, una madini mengi. Watu wameshare experience zao fresh tu. Nina swali kwa wenye uzoefu na hii biashara, mfano ninayo bodaboda na nataka kumpa dereva awe ananiletea hesabu kwa siku na boda iendelee kuwa yangu, je kuna mtu ana sample ya mkataba wa hesabu ya siku?
 
Bro Nina Kazi yangu Kila mwezi napata Mshahara.

Hii Biashara ni kuongeza mzunguko wangu Wa Hela, Biashara zipo nyingi ningeamua kuacha kazi na kwenda kufanya hizo Biashara nyingine mtaani kama kufungua duka au kuuza bidhaa tofauti.

Ila nilihitaji Biashara ambayo inaweza kujisimamia yenyewe kipindi Mimi nikiendelea na mishe zangu za Kazini.

Mimi Kwa mwaka mmoja tu pekee nimefunga Pikipiki zaidi ya 15.

Kwa Pikipiki zangu 15 tu, Kwa Siku napata 150,000/=, Kwa wiki napata 1,050,000/=, kwa mwezi Kwa hizi Pikipiki 15 napata REJESHO La zaidi ya 4,500,000/=. Kwa mahesabu ya haraka Kwa Siku napata Faida ya zaidi ya 45,000/=🟧.

Kipindi napata hizi Hela zote Mimi nipo Ofisini naendelea na mishe zangu na mshahara mwingine nausubiria mwisho Wa Mwezi.
Boss umeshauri safi kuna vingi naomba nijifunze kwako kuhusu hii biashara naomba nipate namba yako 0657903900
 
Em tupe nondo apo kaka, unafanya biashara gani wewe au umeajiriwa, na hyo biashara mtaji shingap na faida Kwa siku shingap!?
Daaaa!!Kweli ni hatari yaani mtaji wa 2.3 milioni ikuletee faida ya tsh.100,000 kwa mwezi sawa na tsh.3300 kwa siku?!!!! Hapana ni uwekezaji usio na afya kabisa!!! Hiyo faida hata mwenye mtaji wa 50000 anaweza pata mala tatu yake kama amewekeza sehemu nzuri.Hata bajaji ni uwekezaji usio na afya kabisa,
 
Back
Top Bottom