biashara ya bajaji,toyo na bodaboda kwa dsm.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
wandugu hivi bajaji huwa inalipa sh ngapi kwa siku, dereva nae analipwaje?
toyo je , inalipa sh ngapi na dereva nae analipwaje?
bodaboda je?
sio mbaya kwa wenye uzoefu mkituambia huwa zinanunuliwa bei gani.
karibuni nyote.
 
Inauzwa sh milioni 4 Toyo/bajaji..kipande elfu ishirini kwa siku.dereva haumlipi anajilipa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom