Biashara ya kupeleka bidhaa Congo

Glory Thomas

New Member
Jun 12, 2023
2
4
Mmeshindaje wadau, nilikuwa naulizia wenye uelewa na biasharra ya kupeleka bidhaa Congo mje mtupe madini, nataka niende katanga je ni bidhaa gani inatoka huko?

Na utaratibu upoje inabidi uwe na nini na nini na kwa sisi wenye mtaji mdogo unaweza anza hata na shilingi ngapi nasikia congo hamna viwanda ila biashara ipo sana, wenye uzoefu mtupe muongozo basi
 
Kongo peleka Cha Arusha Unatoboa week 3

Ila laazima uende Kivu, Bukavu , Goma

Waasi watakupenda sana watakupa dhahabu, almasi za kutosha

Waiiita Dawa ya East Africa ( Bangi ya Arusha)
 
Back
Top Bottom