Biashara wanavyocheza Yanga mnapata hisia gani?

namungo nafasi ya 60 biashara akiingia makundi anaungana naye kupata points 2.5 kuna majitu yana point 1 tangu 2017 , shame shame shame

NAMUNGO.png
UTO.png
 
Wachambuzi wa Bongo kutwa kuchambua makosa tu na kuzivunja moyo team zetu. Tunaposema league yetu ni bora kati ya nchi 12 bora Africa hii ndo tafsiri yake. Leo hii team ya kiwango cha wastani kama hii Biashara inaonesha soka safi kabisa katika mechi kubwa ya kimataifa, lazima Watanzania tujivunie league yetu.
Ni mpumbavu tu anaekatishwa tamaa kwa kuelezwa makisa. Sifa hulemaza, kumweleza makisa hutoa nafasi ya kurekebishwa.
 
Labda tu kwa faida yenu niwaeleze
Yanga hatuna shida na huko CAF champions league wala Confederation ila lengo letu sisi ni kuifunga timu ya Makolo tu
Bora nimekukuta huku
Utopolo
Na umesema kweli leo

Mara moja baada ya miaka mingi kweli
 
Wanaweza mapinduzi tu.

Tukubaliane tuwape uwakilishi wa kudumu huko.
Kweli kabisa, yaani sijapata kuona timu useless kama Yanga....hata mashabiki wao bado wanaamini tu kuwa timu yao ni ya kimataifa wakati hawajawahi fanya lolote la maana kimataifa kila siku kuchapwa tu kama mbwa koko. Wanashindwa hata na Biashara?
 
Haya kiko wapi sasa. 😁 🤣
 
Back
Top Bottom