Biashara wanavyocheza Yanga mnapata hisia gani?

Tuache utani,mpira ni kuelewana na kujiamini ,Biashara United wameonyesha ,unaweza kufanya usajili mkubwa na wachezaji wazuri bila spirit ni bure
 
Libya yenye mapigano kila uchwao, yenye ligi ilisimama kwa sababu ya covid bado mnataka tuwasifu biashara acheni unafiq

Alafu yanga kaingiaje hapa, huyu biashara ama mlibya angekutana na yanga si wanagalagazwa za kutosha
 
Ifatilie Al Ahly Tripol then urudi kuandika upya, hiyo ni miongoni mwa team kubwa Afrika huwezi kuilinganisha na Yanga hata robo. Unajua mzunguko wa kwanza wamepita kwa agg: ya magoli mangapi?
 
Yanga bado ni timu nzuri na yenye kiwango kizuri tatizo bado lipo kwenye uongozi hasa M/kiti. Biashara wanadhihirisha ubora wa ligi yetu. Team zote zinazoshiriki NPL ni nzuri na zinaweza kufanya jambo zuri kwenye ligi yoyote Afrika kama siasa hazitaingia kwenye vilabu vyao.
 
Libya yenye mapigano kila uchwao, yenye ligi ilisimama kwa sababu ya covid bado mnataka tuwasifu biashara acheni unafiq
Huu wimbo wa Covid, utopolo hawajauanza leo, waliuanza 2017 hata kabla covid19 yenyewe haijaibuka
 
Ifatilie Al Ahly Tripol then urudi kuandika upya, hiyo ni miongoni mwa team kubwa Afrika huwezi kuilinganisha na Yanga hata robo. Unajua mzunguko wa kwanza wamepita kwa agg: ya magoli mangapi?
Timu kubwa afrika hahahaha mkuu umeanza vichekesho kama vile vya Voda/tigo

Ikiwa katika ligi yake tu ni ya 2 ikiwa na michezo 22, imewini 14,umepoteza 1 na draw 7
Huu ukubwa afrika unaipata wapi ikiwa ligi yao kwa ubora ni ya 13 na sisi 14

Huyu kwa yanga ni kibonde kama alivyo biashara na simba
 
Bro soka la tz ni kubwa....Hadi Sasa tukubaliane kuwa mlisare na biashara sio kwasabab ya mil 10 Bali kwa uwezo wao....
Na MILIONI 10 pia ilichangia,kwani walivyopigwa uchochoroni ubora ulikuwa wapi? Au simba mbovu sana mwaka huu.
 
Timu kubwa afrika hahahaha mkuu umeanza vichekesho kama vile vya Voda/tigo

Ikiwa katika ligi yake tu ni ya 2 ikiwa na michezo 22, imewini 14,umepoteza 1 na draw 7
Huu ukubwa afrika unaipata wapi ikiwa ligi yao kwa ubora ni ya 13 na sisi 14

Huyu kwa yanga ni kibonde kama alivyo biashara na simba
Hizi bangi sijui huwa mnavutia wapi?

Wenzio bado wako kwenye mashindano unawadharau wakati wewe utopolo sasa hivi uko jikoni unajipikilisha.
 
Timu kubwa afrika hahahaha mkuu umeanza vichekesho kama vile vya Voda/tigo

Ikiwa katika ligi yake tu ni ya 2 ikiwa na michezo 22, imewini 14,umepoteza 1 na draw 7
Huu ukubwa afrika unaipata wapi ikiwa ligi yao kwa ubora ni ya 13 na sisi 14

Huyu kwa yanga ni kibonde kama alivyo biashara na simba
2017 walicheza robo fainali club bingwa Africa
 
Back
Top Bottom