Biashara wanavyocheza Yanga mnapata hisia gani?

Na mwaka huu kwenye NPL Makolo bwenzi tunampiga nje ndani

Sisi ndio furaha yetu
 
kwa pira walilochza leo biashara, naamini watafika sehemu ya kutuwezesha kuongeza point za kuendelea kuweka team nne.
 
Libya yenye mapigano kila uchwao, yenye ligi ilisimama kwa sababu ya covid bado mnataka tuwasifu biashara acheni unafiq

Alafu yanga kaingiaje hapa, huyu biashara ama mlibya angekutana na yanga si wanagalagazwa za kutosha
Mmezidi visingizio maana Simba waliposhinda mlisingizia corona
 
Yanga hamna kitu. Wao ni Uchawitu. Alafu mbaya zaidi wanautumia kwenye mechi za simba.

Midomo mirefu kwenye mashindano ya kimataifa sifuri.

Hongera Biashara hongera Azam Fc Yanga ni buretu.
Ume
Utopolo hawezi kujificha hata kidogo!! Wapigieni makofi wanaume wa soka Tz kuanzia leo hadi J2!!
Mwana
Mmezidi visingizio maana Simba waliposhinda mlisingizia corona
Kwamba haikuwa korona, unasahau wachezaji 3-8 wa kikosi cha kwanza walikuwa hawachezi

Tanya kuifatilia hii timu mara ya mwisho kucheza ni lini
 
Libya yenye mapigano kila uchwao, yenye ligi ilisimama kwa sababu ya covid bado mnataka tuwasifu biashara acheni unafiq

Alafu yanga kaingiaje hapa, huyu biashara ama mlibya angekutana na yanga si wanagalagazwa za kutosha
Mmezidi visingizio maana Simba waliposhinda mlisingizia corona
 
Eti yanga wanajisikiaje.

Ushawahi kujikuta upo geto afu mpangaji mwenzako anakula tunda.?

Basi ile hali ndo yanga walonayo.
 
Libya yenye mapigano kila uchwao, yenye ligi ilisimama kwa sababu ya covid bado mnataka tuwasifu biashara acheni unafiq

Alafu yanga kaingiaje hapa, huyu biashara ama mlibya angekutana na yanga si wanagalagazwa za kutosha
Excuse za kipumbavu hizo
 
Hata Namungo mwaka jana hii stage ya chupli chupli Confederation alivuka na akafika group stage na hakuacha kuona kila aina ya rangi
Na akawazidi utopolo kwenye viwango vya CAF ,sham on you mwaka huu na Biashara anapita tena
 
Yanga anampira wa zamani yaani mpira wa matukio. I swear safari hii Yanga atamfunga Simba, Azam na BUM kutaka tu kuonyesha kuwa anaweza yaani ana feel inferiority kubwa. Ila atafungwa na Mbeya city,coastal na dodoma jiji na ubingwa ataukosa. Personal conflicts inaitesa Yanga yaani hawawazii ubingwa bali wanawazia kuprove kuwa wana timu kwa kumfunga Simba,Azam na BUM kwa kucheza kwa kukamia. Ubingwa ni long term plan na sio kuvizia vizia
Acha wenge, tushachukuwa ngao ya jamii tunachosubiria ubingwa. Kwa sasa Simba au Azam hawana timu ya kumfunga Yanga.
 
Na akawazidi utopolo kwenye viwango vya CAF ,sham on you mwaka huu na Biashara anapita tena
Huu unapoteza humu ungejifunza hata Kiingereza kidogo, unajua maana ya " sham",kigezo cha kwanza cha kuwa shabiki wa Simba ni ujinga uliopitiliza.
 
Na akawazidi utopolo kwenye viwango vya CAF ,sham on you mwaka huu na Biashara anapita tena
Sisi kwetu simba akiwa kibonde wetu wala hatuna shida, hayo mengine ni kudra ila cha msingi makolo bwenzi ni kibonde wetu
 
Back
Top Bottom