zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 10,140
- 21,451
Kuwa kwenye mshindano haiondoi ukweli kwamba ni timu mbovu, simba yupo pia kwenye mashindano kwa straika jamii ya mugalu atafika wapi? Ataishia kusindikiza tuHizi bangi sijui huwa mnavutia wapi?
Wenzio bado wako kwenye mashindano unawadharau wakati wewe utopolo sasa hivi uko jikoni unajipikilisha.