Nani kakudanganya bidii Tu ndio zitakutoa kwenye biashara nchi hii ? , biashara bila mentality ya kimafia na ubabe either physical na spiritual hutoboi hasa Tanzania hii ninayoijua Mimi .
Kama we ni mfanyabiashara utaelewa nililoandika , tena nchi kama Tz hii kama hutaki kuwehuka na biashara yako ukawa unatembea njiani unaongea peke yako ni lazima ufanye yafuatayo ,matajiri wote Tz walioyoboa hizi ndio Siri zao




mfanyabiashara Tanzania kama hakwepi Kodi , anawaibia wateja Kwa kuwapunja bidhaa au huduma au kuwauzia bidhaa na huduma zenye ubora WA Chini au anatumia ndumba za kalimanzila kama hafanyi hayo basi anatumia umafia kumanipulate na kudominate soko kama hafanyi hayo basi ni mnyonyaji WA maslahi ya wafanyakazi wake kwenye hiyo biashara
Fuatilia utakuja kunishukuru