Biashara nzuri ya samaki Mwanza ni nini?

Darmajeks

New Member
Jan 13, 2019
2
0
Kutokana na research yangu baadhi ya watu wanasema biashara ya uuzaji wa bondo(swim bladder/fish maw) za samaki ni ya kwanza kuliko zote na inataka mtaji kidogo.

Kwa wale ambao hawafahamu bondo(swim bladder/fish maw)za samaki.
Bondo ni chombo cha samaki kama sangara kinachowasaidia kuogelea kwenye maji
Bondo hizi zinauzwa sana kwa wachina ambao wanafaamika na serekali na zinalipa mnoo.

KWA WATU WENYE UFAFANUZI ZAIDI TUNAOMBA USHAURI WENU
 
Back
Top Bottom