Biashara ni rahisi kama hivi.

Biashara ni rahisi kama hivi.

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
8,694
Reaction score
16,322
BABA;Mtoto wangu nataka
umuoe mwanamke
nitakayemchagua mimi sawa?
.
MTOTO;Hapana
.
BABA;Ni mtoto wa Bill Gates
.
MTOTO;Bhasi sawa!
.
BABA ANAENDA KWA BILL GATES
.
BABA;Nataka mtoto aolewe na
mtoto wangu
.
BILL GATES;Hapana
.
BABA;Mtoto wangu ni CEO wa
benki ya dunia
.
BILL GATES;Bhasi sawa!
.
BABA ANAENDA KWA RAISI WA
BENKI YA DUNIA
.
BABA;Mchague mtoto awe CEO
wa benki ya dunia
.
RAISI;Hapana
.
BABA;Mtoto ni Mkwe wa Bill
Gates
.
RAISI;Basi sawa!
 
BABA;Mtoto wangu nataka
umuoe mwanamke
nitakayemchagua mimi sawa?
.
MTOTO;Hapana
.
BABA;Ni mtoto wa Bill Gates
.
MTOTO;Bhasi sawa!
.
BABA ANAENDA KWA BILL GATES
.
BABA;Nataka mtoto aolewe na
mtoto wangu
.
BILL GATES;Hapana
.
BABA;Mtoto wangu ni CEO wa
benki ya dunia
.
BILL GATES;Bhasi sawa!
.
BABA ANAENDA KWA RAISI WA
BENKI YA DUNIA
.
BABA;Mchague mtoto awe CEO
wa benki ya dunia
.
RAISI;Hapana
.
BABA;Mtoto ni Mkwe wa Bill
Gates
.
RAISI;Basi sawa!
te...e... hiki kitu ni kizuri kinaweza kuwasaidia watu kujenga mazigira ya ujasiri na kujiamini.gooood!
 
Ingawa inachekesha lakini hii kitu ina funzo kubwa sana kibiashara. Una create demand ya kitu from no where. Trick hii inaweza kutumika sehemu nyingi. Mimi binafsi huwa naitumia hata kazini kwa vitu vidogo na vikubwa
 
  • Thanks
Reactions: vvm
hahahhahahahhaha....We Jamaa Umewaza Nini Ww?
 
  • Thanks
Reactions: vvm
Back
Top Bottom