Biashara ni ngumu jamani!

Pole sana,,,, umefungua bar kubwa matengenezo ya maana wateja hakuna ...... ! Return itakuja mdogo mdogo komaa !
Asante mkuu
Biashara mpya itaanza kuonesha matokeo baada ya miaka 2-3. Sasa wewe miezi minne tu nywinywi nyingi, subiri watu wa mwambene wakutembelee kwanza ukomae.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ni akina nani hao mkuu
 
Hasa kama mtu unasimamia biashara Mwenyewe dukani hela ya kula na matumizi binafsi utatoa Wapi me hela imenikata vibaya nina mwaka faida ndogo ns nategemea Duks tu
 
Mkuu pesa ya matumizi yangu binafsi wala haitegemei biashara yangu hata shilingi mia moja.
Pesa ya matumizi yangu najitosheleza nayo mwenyewe kwa sasa,labda kwa baadaye
Wekeza zaidi huko kunakokupatia "pesa ya matumizi yako binafsi" kwa sababu inaonekana ndo pako vizuri. Kimsingi wewe tayari umeshafeli kwa kufakamia hizo bia wakati biashara yako ni ngumu. Pombe itakuongezea matatizo zaidi.
 
Hii namba 4 sasa ndugu na majirani kutegemea kukopwa no kuchelewa kulipwa,
 
Biashara ni ngumu kila kona saivi, naona walalamikaj ni wengi sana!
 
Kwa mkoa kama dar ushindani Sasa hivi kila mtu anafanya biashara mpka waha wanakopesha bidhaa zako tena wanachukua kkoo wanapitia buku buku tu
Hii sio dar tu, nafkiri tu hali tu imekaza sijui ni kwanini
 
Ni balaa.. na hivi huku mvua inajinyea tu mi ndo hata sitoki nje! Unaenda pigwa baridi na hela haip

Ni balaa.. na hivi huku mvua inajinyea tu mi ndo hata sitoki nje! Unaenda pigwa baridi na hela haipo๐Ÿ˜
Mikoani peleka bidhaa hasa minadani Dar wafanyabiashara Tupo wengi na kkoo hapo tu
 
Hii sio dar tu, nafkiri tu hali tu imekaza sijui ni kwanini
Sema wafanyabiashara tunapapenda dar uchukuaji bidhaa simple tofauti uwe chemba kwa mtoro bidhaa utauza ila kufuata dar gharama
 
Huu mwezi ndo umekaza sana wiki ya pili from September biashara hesabu inakataa kabisaaa sijui kwann lakini lazma niishi
 
Mikoani peleka bidhaa hasa minadani Dar wafanyabiashara Tupo wengi na kkoo hapo tu
Kama mikoa ipi? Kumbukeni miji inakuwa kwa kasi pia sio kama zamani! Na mikoani pia kuna watu na biashara zao sasa mlete mikoani afu wa mikoani wapeleke wapi? Au vijijini zaidi๐Ÿ˜‚
 
Sema wafanyabiashara tunapapenda dar uchukuaji bidhaa simple tofauti uwe chemba kwa mtoro bidhaa utauza ila kufuata dar gharama
Kuna biashara nyingine saiz zipo mikoani ata kwa jumla watu hawafuati dar, mf. Mzuri mwanza! Yani sio kama zamani.. baadhi ya biashara tu ndio watu wataagiza lkn nyingi watu wanafanya bila kutegemea dar
 
Kama mikoa ipi? Kumbukeni miji inakuwa kwa kasi pia sio kama zamani! Na mikoani pia kuna watu na biashara zao sasa mlete mikoani afu wa mikoani wapeleke wapi? Au vijijini zaidi๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› ndiyo kama minadani vijijini Dar viatu maduka mtaa mzima mnavyo
 
Huu mwezi ndo umekaza sana wiki ya pili from September biashara hesabu inakataa kabisaaa sijui kwann lakini lazma niishi
Same! Hakuna nachofanya hapa kuishi ni lazima ila cha moto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ