Amtangulize mungu tena wakati mwenye chuma ulete naye anamtanguliza mungu.hii dunia tutazikwa tumechoka kwakweli.maombi yalitiki kwa mwenye chuma ulete.😴😴😴Huyo alitumia chuma ulete Sasa Ili kuepuka Hilo tatizo lisijirudie Tena fanya yafuatayo:
✓Mtangulize mungu Kila unapofungua biashara yako pamoja na kufunga.
✓Sehemu ambayo unaweka pesa Aidha ya mauzo au akiba yako hakikisha umeweka punje za kitunguu swaum kilichomenywa kuanzia mbili na kuendelea.
✓weka mkaa pia kwenye pesa za mauzo au akiba
✓weka ndulele wengine huita mtula tula kwenye hizo pesa zako za mauzo.
NB:
Itapebdeza sana kama ukipata vitu vyote hivyo tajwa hapo juu na ukavichanganya kwa pamoja.
Mambo ya kichawi maliza kichawi,ya dini maliza kidini.zindika drawer yako yahela.utapigwa sanaY
Yani watu mnaongea kwamb nilihesabu vibaya bro ndo hela zote hizo nishindwe kustuka laki mbili na 77 nishindwe kujua kama hela hii haijatimia yani mtu akupe laki alafu uhesabu vibaya eti upate laki tatu na 87 kweli
A
Amtangulize mungu tena wakati mwenye chuma ulete naye anamtanguliza mungu.hii dunia tutazikwa tumechoka kwakweli.maombi yalitiki kwa mwenye chuma ulete.😴😴
Hoja ya msingi ipo hapo kwenye bold,labda kama ”mungu” lakini kama ni ”Mungu" hivyo vingine ulivyoorodhesha hapo havihitajiki.
Mleta mada kuwa na utaratibu baada ya kumuuzia mteja mzigo pesa zake usizichanganye na nyingine (unaweza ukazifunga na rubber band kuzitenga na nyingine) hii itajenga kumbukumbu zako vizuri zaidi kwamba hela fulani ilikuwa hivi na hata ikitokea umeitumia ni rahisi kukumbuka,labda ulipopokea hiyo hela kuna malipo ulifanya ndiyo maana hesabu zimepotea.k
Kupanga ni kuchagua.. na Kila mtu ana perception zake.Hoja ya msingi ipo hapo kwenye bold,labda kama ”mungu” lakini kama ni ”Mungu" hivyo vingine ulivyoorodhesha hapo havihitajiki.
Mleta mada kuwa na utaratibu baada ya kumuuzia mteja mzigo pesa zake usizichanganye na nyingine (unaweza ukazifunga na rubber band kuzitenga na nyingine) hii itajenga kumbukumbu zako vizuri zaidi kwamba hela fulani ilikuwa hivi na hata ikitokea umeitumia ni rahisi kukumbuka,labda ulipopokea hiyo hela kuna malipo ulifanya ndiyo maana hesabu zimepotea.
Ndio Mungu anaA
Amtangulize mungu tena wakati mwenye chuma ulete naye anamtanguliza mungu.hii dunia tutazikwa tumechoka kwakweli.maombi yalitiki kwa mwenye chuma ulete.😴😴😴
Unataka afanyaje Sasa?utajuaje Kama siku hiyo huenda hakumtanguliza mungu na adui alifanya na akamshnda.A
Amtangulize mungu tena wakati mwenye chuma ulete naye anamtanguliza mungu.hii dunia tutazikwa tumechoka kwakweli.maombi yalitiki kwa mwenye chuma ulete.😴😴😴
Wana ukunjaji fulani wa noti ambao ukihesabu haraka haraka unaliwa. Dawa ni utulivu unapopokea ( matapeli wana mtindo wa kukuondoa concentration kwa kukuzungumzisha au kujifanya wana haraka) na kuhakikisha unaiona kila noti ikiwa kamili.Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu.
Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo tatu thamani ya shilling laki tatu na 87. Ile hela kanipa nimehesabu kwa macho yangu imetimia nikaweka mfukoni. Nikampakilia mzgo wake. Huyo mteja anatokea chamanzi kwa maelezo yake. Basi kashaondoka nahesabu tena ile hela nakuta ni laki moja na elfu kumi yanii laki mbilii na 77 haipo.
Dah wenye uzoefu wanifafanulia jamaa katumia njia ipi kuniibia hela nyingi kiasi kile na mimi mwenyewe hata sikushtuka hivi huwa wanatumia dawa hawa matapelii msaada please? kama imewahi kukutokea naomba experience yako hapa.
Hahahahaaha unatakiwa kuhesabu moja moja, wewe ulipigwaMimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu.
Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo tatu thamani ya shilling laki tatu na 87. Ile hela kanipa nimehesabu kwa macho yangu imetimia nikaweka mfukoni. Nikampakilia mzgo wake. Huyo mteja anatokea chamanzi kwa maelezo yake. Basi kashaondoka nahesabu tena ile hela nakuta ni laki moja na elfu kumi yanii laki mbilii na 77 haipo.
Dah wenye uzoefu wanifafanulia jamaa katumia njia ipi kuniibia hela nyingi kiasi kile na mimi mwenyewe hata sikushtuka hivi huwa wanatumia dawa hawa matapelii msaada please? kama imewahi kukutokea naomba experience yako hapa.
ChaiMimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu.
Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo tatu thamani ya shilling laki tatu na 87. Ile hela kanipa nimehesabu kwa macho yangu imetimia nikaweka mfukoni. Nikampakilia mzgo wake. Huyo mteja anatokea chamanzi kwa maelezo yake. Basi kashaondoka nahesabu tena ile hela nakuta ni laki moja na elfu kumi yanii laki mbilii na 77 haipo.
Dah wenye uzoefu wanifafanulia jamaa katumia njia ipi kuniibia hela nyingi kiasi kile na mimi mwenyewe hata sikushtuka hivi huwa wanatumia dawa hawa matapelii msaada please? kama imewahi kukutokea naomba experience yako hapa.
😁😁weka lipa namba
Kama ni swala la kuhesabu tu limesababisha haya yote sidhani kama ni kukosa umakini tu, labda tuseme ni ujinga.Pesa hairogeki mkuu acha mawazo ya enzi za giza, then punguza wenge kwenye biashara na uongeze umakini inapo hesabu noti...
Hii ya mkaa naskia ni nzur..mm nawekaga mkaa kwenye wallet yanguHuyo alitumia chuma ulete Sasa Ili kuepuka Hilo tatizo lisijirudie Tena fanya yafuatayo:
✓Mtangulize mungu Kila unapofungua biashara yako pamoja na kufunga.
✓Sehemu ambayo unaweka pesa Aidha ya mauzo au akiba yako hakikisha umeweka punje za kitunguu swaum kilichomenywa kuanzia mbili na kuendelea.
✓weka mkaa pia kwenye pesa za mauzo au akiba
✓weka ndulele wengine huita mtula tula kwenye hizo pesa zako za mauzo.
NB:
Itapebdeza sana kama ukipata vitu vyote hivyo tajwa hapo juu na ukavichanganya kwa pamoja.
Sio uchawi ni techilonoloja?Unajua maana ya uchawi?? Kuna uchawi gani hapoo???
Thread closed. ✍️🔨Pesa hairogeki mkuu acha mawazo ya enzi za giza, then punguza wenge kwenye biashara na uongeze umakini inapo hesabu noti...