Biashara mpya Tanganyika: Majeneza used

Naskia akiwekwa kwenye hilo jeneza la kifahari, n tiketi ya kwenda peponi 😎
 
Ila ishu ya kuchoma maiti naikubali sana, ingekuwepo bongo nngeenda kujisalimisha nichomwe moto siku nikifa, na ndugu nawapa hiyo taarifa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…