Wakuu habari zenu, hivi ni biashara gani ukipeleke pembezoni mwa mijini inaweza kukutoa kimaisha mfano kilosa, gairo, dakawa, dumila.Asante karibuni kwa michango yenu