Na mimi nipo miongoni mwa Waafrika maskini, ndo maana najiuliza, tunafeli wapi sisi Africa ili tuwe matajiri kama wazungu? kwa hiyo nakukaribisha kwenye hoja mkuu.
japo hawakosekanagi wa kupinga ila 90% ndo ivo, imagine mtu hta milo miwili ni pasua kichwa huo mtaji wa milion 100 wa kuanzishia biashara kubwa anautoa wp sana ataangukia kwenye biaxhara ya pipi,biskut,maji & sigara
Kaka, Kwasehemu kubwa nchi za kiAfrika ni maskini na umaskini unazaa umaskini kama ilivyo kwa utajiri. Uchumi wa nchi ukiwa mkubwa kila mtu anafayabiashara ni rahisi kuwa tajiri mkubwa kwa sababu pesa ipo...pili umaskini unasabaisha tunakua na culture za kimaskini ambazo ni vigum kuziepuka hata nafasi zikiwa mbele yatu