Biashara ipi ya kuwekeza kipindi hiki kwa mtaji wa milioni 30 -50?

Mr, kaa ujue kuwa entrepreneurship ni matokeo ya msukumo wa nafsi (hobby). Sio kila mtu ana hiyo hobby......tupo TOFAUTI.

So sisi tuwaache tu kama walivyo, maana hata tukisema sana haitosaidia kitu. Maana hata mimi pia, nina watu ambao wanauwezo mzuri sana kifedha....
Inshort wanaweza kuweka hata mil 100, kwenye entrepreneurship project....but still wanaeng' eng' tuh!!!!
 
Ni kweli kabisa, 40m si kitu. If anataka kufanikiwa through accumulation ya biashara, ni vema akazama yeye mwenyewe field.

Apart from that ATALIA sio muda mrefu.....
Hahahqhaha eti unatafta partner kwa 40m..nakupa 7mths utakuwa huna hata 200!partiner?
!yaan 40m isimamie mwwnyew kbs..usione watu wanahamia maporini mkuu...binafsi mm hata ndg simwamini kqenye biashara...!

kweli tumepishana
 
100M kwenye ajira unaipataje mkuu tuanzie hapo.
 
Reactions: _ID
Ni kweli kabisa, 40m si kitu. If anataka kufanikiwa through accumulation ya biashara, ni vema akazama yeye mwenyewe field.

Apart from that ATALIA sio muda mrefu.....
Atalia akitaka partner ila kama wakusimamia safi.
 
Hii imetulia gharama ni kwenye vifaa tu Kama camera na other equipments ila ahakikishe yupo down town na matangazo ya kutosha na awa na vijana ambao ni wabunifu ataipenda hii biashara nilishafanya huko nyuma Kama 5 years back.. IPO vizuri km unamtaji mzuri.
 
40million bado ana mawazo ya Ku endelea ajiriwa???

Kama hawezi ingia field mwenyewe; basi mkuu usimpotoshe! kilio chake kitakuwa cha mbwa koko na atachakaa.

Hizo hela zake mwambie akaziweke fixed deposit mpaka siku atakapoamua Ku ingia rasmi mwenyewe kwenye ujasiriamali.
 
Mwambie aje nimuuzie uwanja Chamazi ajenge nyumba apangishe hatojuta bei mzuri tu mil 7 itakayo baki nitampa idea ya biashara ya kufanya nnayotaka kuifanya mimi
 
Unaachaje kazi bila biashara kusimama...kuwa na mtaji kitu kingine, kusimama biashara kitu kingine.
 
In short anapaswa yeye mwenyewe pia, kuwa karibu na mradi wake. Regardless ana msimamizi au partner.....
Inategemea aina ya biashara sasa...ndio maana kama mimi nikapendekeza Carwash haitaji ujuzi nini kusimamia, ila mfano ayo mambo ya Video photograph kama sio mjuzi uwelewi.

Binafsi niki accumulate kihasi kikibwa kazini najua wapi pa kuepeleka na mpka wa kuisimamia...mpaka muda wa kuacha kazi kifikie nini niache nime plan vyote.
 
Unaachaje kazi bila biashara kusimama...kuwa na mtaji kitu kingine, kusimama biashara kitu kingine.
iyo biashara itasimamaje pasipo muhusika mkuu kuhusika kwa asilimia zote, kitu chako ulichokianzisha kwa jasho lako siku zote commitment yake ni ya hali ya juu. Mwanzo wa shughuli ama biashara yoyote lazima uhusike kwa asilimia zote wewe kama mmiliki; otherwise yatakuwa ni majuto tu

Kama hujawahi Fanya biashara yeyote huwezi elewa;
 


Mawazo mazuri sana ila yote yanahitaji uwepo wake..haswa no3 ila angeweza kukuza mtaji wake kidogo awe na kama 60m achukue trekta mpya kabisa na jembe lake aingie ata Turiani apo Moro uhakka wa kulaza atleast 18m kila msimu wa kulima
 
Mkuu kwakuwa amesema hana muda wa kusimamia then real estate ndio biashara inayoweza kumfaa kinyume na hapo ni bora ahifadhi hiyo pesa hadi atakapokuwa tayari. Nimewahi kupoteza over 40m kwa mwaka kwenye business na kurudi flat nikiwa na madeni kwa sababu ya kuwaachia vijana na ndugu ambaye alikuwa partner.

Kuna project yangu ndogo nimeshindwa kuimalizia kama atakuwa interested nimeitangaza kwa bei ndogo sana hapa:

 
Aende china akachukue, urembo, vyupi, achanganye na spare parts za pikipiki
 
hyo namba 2 imenitouch...nimekuDM bro

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Ingia china kachukue urembo,ingia china kachukue under ware,ingia china kachukua sm za gharama isiopungua400000 kwa bei ya kuuza hapa bongo faida yake nikuanzia 150000 chukua samsung,iphone basi
Yap Good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…