Imejengwa kwa plan ya kupangisha, ndani ya geti moja lakini kila moja ni chumba kimoja, sebule, jiko na choo chake (self contained).
Moja imekamilika kwa kiasi kikubwa (ninakaa hapa) na nyingine iko level ya tofali la nane na imejengwa kwa plan inayoweza kuwa ghorofa moja.
Maji ya dawasco na umeme umeunganishwa.
Km 3 kutoka Bagamoyo road na iko mita 300 kutoka kituo cha polisi mtongani, ni umbali wa dakika tano kwa miguu kutoka barabara ya lami (kituo cha mtongani).
Kwa ujumla ni project ndogo ila imejengwa kuanzia mwaka jana.
Bei ni milioni 40 (mazungumzo yapo). Mimi ndio muuzaji.
Mawasiliano 0622387205

Plot ni ndogo mkuu, around 150square meter ndio maana reasonable plan ikawa nyumba ndogo za kupangisha.Ungetuambia ka-plot ni size gani na status ya documentation yake!
Maana mitaa hiyo nasikia Jiwe kaweka X za kutoka ile njia mpya ya chini!
Kuna kitu hakipo sawa kichwani kwangu!
Tutoe hofu!
Plot ni ndogo mkuu, around 150square meter ndio maana reasonable plan ikawa nyumba ndogo za kupangisha.
Haiko upande ule wa chini kwenye barabara mpya, iko upande wa juu, opposite na polisi.
Mimi nilinunua plot 2017 kwahiyo ninazo document za mauziano za serikali ya mtaa kunduchi.
Karibu sana mkuu.
Ni karibu sana mkuu, kuna mashine ya zamani ya kokoto kwenye ile njia inayokuwa na mnada ijumaa. Ni kama mita 100 kutoka hapo. Ni kama mita 300 tu kutoka pale polisi.Nimekuelewa mkuu
Juu ukipanda unafika kule kwenye kokoto au unapavuka?
Ni karibu sana mkuu, kuna mashine ya zamani ya kokoto kwenye ile njia inayokuwa na mnada ijumaa. Ni kama mita 100 kutoka hapo. Ni kama mita 300 tu kutoka pale polisi.
Man, pengine sio jukumu lako kusema lakini nataka kujua kwanini unauza nyumba. Tuanzie hapo kwanza.Imejengwa kwa plan ya kupangisha, ndani ya geti moja lakini kila moja ni chumba kimoja, sebule, jiko na choo chake (self contained).
Moja imekamilika kwa kiasi kikubwa (ninakaa hapa) na nyingine iko level ya tofali la nane na imejengwa kwa plan inayoweza kuwa ghorofa moja.
Maji ya dawasco na umeme umeunganishwa.
Km 3 kutoka Bagamoyo road na iko mita 300 kutoka kituo cha polisi mtongani, ni umbali wa dakika tano kwa miguu kutoka barabara ya lami (kituo cha mtongani).
Kwa ujumla ni project ndogo ila imejengwa kuanzia mwaka jana.
Bei ni milioni 40 (mazungumzo yapo). Mimi ndio muuzaji.
Mawasiliano 0622387205
Man, pengine sio jukumu lako kusema lakini nataka kujua kwanini unauza nyumba. Tuanzie hapo kwanza.
Poa poa man, nimekusoma. Bajeti ingekuwa sawa ningeweza kutembelea nijioneeHii project niliijenga kwa ajili ya kupangisha then mambo yangu mengine yamekwama kiasi kwahiyo nahitaji cash ili niendeleze mengine.
Poa poaOkay mkuu, asante.
karibu na kwa ziyebbi au kupita ule uwanja wa mpiraImejengwa kwa plan ya kupangisha, ndani ya geti moja lakini kila moja ni chumba kimoja, sebule, jiko na choo chake (self contained).
Moja imekamilika kwa kiasi kikubwa (ninakaa hapa) na nyingine iko level ya tofali la nane na imejengwa kwa plan inayoweza kuwa ghorofa moja.
Maji ya dawasco na umeme umeunganishwa.
Km 3 kutoka Bagamoyo road na iko mita 300 kutoka kituo cha polisi mtongani, ni umbali wa dakika tano kwa miguu kutoka barabara ya lami (kituo cha mtongani).
Kwa ujumla ni project ndogo ila imejengwa kuanzia mwaka jana.
Bei ni milioni 40 (mazungumzo yapo). Mimi ndio muuzaji.
Mawasiliano 0622387205
Mkuu hilo jina sio geni japo simfahamu. Haufiki kwenye ule uwanja mkubwa.karibu na kwa ziyebbi au kupita ule uwanja wa mpira