Biashara hulia popote ulipo

Tzania

Member
Jul 23, 2019
31
12
Habari za saa hii wakuu.

Leo nina jipya kwa wale wajasirimali wenzangu na wazalendo wa hii platform mwanajamii mwenzenu ndugu yenu nahitaji msaada wenu wa kibiashara.

Nauza mafuta ya mawese na mafuta ya kokwa za mawese ambayo yana grade ya juu natafuta soko kwa wale wanaofahamu masoko ya hii bidhaa msaada wenu wakuu kwa kiwango chochote kile wanakaribishwa check me +255 678 180 202

Screenshot_20191210-124902.jpeg
Screenshot_20191210-124755.jpeg
Screenshot_20191210-124632.jpeg
Screenshot_20191210-124505.jpeg
Screenshot_20191210-124001.jpeg
Screenshot_20191210-123912.jpeg
Screenshot_20191210-122648.jpeg
 
Hongera sana sana, nimependa ulivyobrand! Hongera mno! Unaweza kutengeneza ikawa kwa pamoja na contact zako kwenye picha ili nikusaidie kutuma kwenye makundi yangu!
 
1. Unapatikana wapi
2. Bei kwa lita ni sh ngapi
maana mjini hapa ni mali ghafi ya kutengenezea sabuni za magadi unaweza ukaja tuka weka nguvu pa1 tutengenezee sabuni
 
1. Unapatikana wapi
2. Bei kwa lita ni sh ngapi
maana mjini hapa ni mali ghafi ya kutengenezea sabuni za magadi unaweza ukaja tuka weka nguvu pa1 tutengenezee sabuni
Napatikana ilala Ila nimeweka contact hapo tunaweza wasiliana WhatsApp au call me ni natural oil
 
Hongera sana sana, nimependa ulivyobrand! Hongera mno! Unaweza kutengeneza ikawa kwa pamoja na contact zako kwenye picha ili nikusaidie kutuma kwenye makundi yangu!
OK ndiyo naandaa so kama utataka contact nicheki 0678180202 utanisaidia sana nitashukuru sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom