Biashara hizi 15 zitakutoa 2021

Biashara hizi 15 zitakutoa 2021

Nina ndugu yangu yupo nje (denmark) amekuwa very interested na hii business lakini ameshindwa kupata mtu makini wa kuingia makubaliano nae kama partnership Ili waweze kuingiza pesa...

Kama hutojali naweza nikaongea nae then nikuunganishe nae Ili kupeana abc za hii biashara.
Ndiyo mkuu, unaweza nitumia message tuzungumze zaidi.
 
Njia rahisi ya kujifunza inabidi uanze kwa kufanya.

Tena unatakiwa uanze sasa hivi.

Swahi la kwanza lakujiuliza.

1 . Je, unataka kufanya utalii wa ndani au unataka kufanya tourism kwakupokea wageni toka nje.

Hili swali ni muhimu kwasababu ulishajibu sasa utafahamu utalii upi umechagua kufanya. Hapa A town niliona kuna jamaa yeye anafanya utalii wa ndani na ame-focus wateja wake ni wanafunzi wa vyou. Njia ya kuwapata? Anatumia WhatsApp group. Anapeleka clients wake Magoroto Tanga, Hot Spring Boma Ng'ombe Hai, Oldupai etc. Huu ni mwanzo mzuri sasa hasa kama faida ipo. Sasa wewe unaweza ukaiga huu mfano hapo mjini kwako. Au unaogopa? Unadhani ni kazi ngumu sana?

Binafsi nimeshafanya kitu kinachofanana na hiki. Ila mimi nilikuwa nalenga wanafunzi wa shule za sekondari kipindi cha holidays. And i was only 21. Naomba kuonana na mwalimu mkuu, nahakikisha mimeenda na picha kabisa na documents zote za sehemu ninazolenga kupeleka wanafunzi wa shule yake wakajifunze. Hii ni powerful kwasababu ukitumia mifano dhahiri rahisi watu kukuamini. Hapa nilikuwa mjanja nilihakikisha sehemu zote nazotaka kuwapeleka nipo na taarifa zake bila kusuasua. Trust me, nilikuwa natengeneza faida hadi kufikia Tsh260,000 kwa siku kila wiki. Niliacha hii project baada ya kupata opportunity Yali, mgango wa President Barack Obama wakusaidia vijana wajasiriamali, vijana wanaoendesha not for profit organizations, cbo's, political leaders etc. Mimi nilikuwa semi finalist mdogo kuliko wote. I believe. Lakini sikufanikiwa kwenda Washngton kuonana na President Barack Obama. Na hii ndiyo sababu kuu nilijiunga Yali. Namkubali Obama mbaya.

Ok turudi kwenye swali yako...

Iwapo utaamua kuchagua utali kwa maana ya kuwalenga tourists kutoka nje basi huna budi kujitahidi kwa bidii.

Njia rahisi hapa nikutafuta rafiki wa nje aliye na same interest. Utapiga hatua. Mwenyewe itakuwia vigumu kupata clients wakukulipa pesa. Binafsi natumia njia hii yakufanya partnership. Nipo na watu wafanya nao kazi na kwanamna hii inakuwa rahisi business kuonekana business kweli.

Kila la kheri. Ukiona unahitaji msaada zaidi nitafute.

Cheers

nilikuwa
Kaka nimesoma neno kwa neno,umeni inspire sana...hapo kwenye eneo la Utalii natamani nije DM tuongee zaidi huenda kuna moja na mbili naweza pata mwanga bora mkuu! Naipenda hii sector!
 
Hao marafiki wa ughaibuni nawapataje?
 
Mkuu hapo kwenye restaurant ndo nina mipango napo ..nataka nifungue ya kuuza breakfast tu kama ya aina hii. Ndio napambana hapa town kupata location kali ..kama unaweza nisaidia pia itakuwa vizuri sana ..je kwa hapa Arusha naweza kutengeneza pesa nzuri sana?
Shida huanzia pale ambabo chungwa umenunua 300, zabibu 1000, mayai 1000 na hayo majani 500 ila unataka kuuza hio breakfast 20,000/=
 
Mkuu unajua kwanini Maji kama ya Kilimanjaro kwa mangi yanauzwa tsh 1000/= ila hotels na restaurants kubwa yanauzwa hadi tsh 5000-7000/=?
Mimi nauza matunda haya haya hadi tsh 3000 kwa kontena na bado napiga vichwa vya kutosha.
Kwa siku natengeneza hadi kontena 20, 30 kwa gharama ya tsh 25000/= TC
Hivyo sikosi faida ya 30k, to 40k daily ukitoa gharama zote.
Imagine nikifungua iyo Restaurant...😃😃
Wengine wanauza tsh 1000/= bado nawakimbiza..
Unatakiwa uwe unicki..😀😀
 
Attachments

  • 20200930_160746.jpg
    20200930_160746.jpg
    128.9 KB · Views: 25
  • 20200929_162535.jpg
    20200929_162535.jpg
    74.9 KB · Views: 23
  • 20200929_162641.jpg
    20200929_162641.jpg
    80.1 KB · Views: 23
Mkuu unajua kwanini Maji kama ya Kilimanjaro kwa mangi yanauzwa tsh 1000/= ila hotels na restaurants kubwa yanauzwa hadi tsh 5000-7000/=?
Mimi nauza matunda haya haya hadi tsh 3000 kwa kontena na bado napiga vichwa vya kutosha.
Kwa siku natengeneza hadi kontena 20, 30 kwa gharama ya tsh 25000/= TC
Hivyo sikosi faida ya 30k, to 40k daily ukitoa gharama zote.
Imagine nikifungua iyo Restaurant...😃😃
Wengine wanauza tsh 1000/= bado nawakimbiza..
Unatakiwa uwe unicki..😀😀
kontena unayarudia au ukimpa unampa moja kwa moja akimaliza analitupa mkuu?
 
Sa
Mkuu unajua kwanini Maji kama ya Kilimanjaro kwa mangi yanauzwa tsh 1000/= ila hotels na restaurants kubwa yanauzwa hadi tsh 5000-7000/=?
Mimi nauza matunda haya haya hadi tsh 3000 kwa kontena na bado napiga vichwa vya kutosha.
Kwa siku natengeneza hadi kontena 20, 30 kwa gharama ya tsh 25000/= TC
Hivyo sikosi faida ya 30k, to 40k daily ukitoa gharama zote.
Imagine nikifungua iyo Restaurant...😃😃
Wengine wanauza tsh 1000/= bado nawakimbiza..
Unatakiwa uwe unicki..😀😀
Sawa hongera boss kazi kwa kuwa Uniki😂😂😂
 
Hizo hapo, mfano hiyo ni order napeleka.
Ubarikiwe sana utafanikiwa nakuona mbali sana in few years to come

Umekamilika/unapenda unachokifanya/unajua unachokifanya keep it up

Kwa mwendo/packing/style hizo Ungekua around me,ungekula hela zangu sana

Usikate tamaa Focus Uko vizuri sana sana sana i like what your doing,Pambana mkuu.
 
Online consultation and marketing is real

KWA WAHITAJI WA HUDUMA YA:

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM

KUANDAA TENDA

VISA YA KUSAFIRIA

CRB

USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKITOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
*Klin&Brite
 
Nina Project ya Health food, hasa vile vya asili kabisa ambavyo tulikiwa tunagonga bushi, ila baada ya kuja town tukakutana na Mara soseji mara Mikate na kusahau vyakula vya asili,

Mwakani naanza ila itakuwa sio kwa kuvipila hapana ni kuuza vibichi
 
Back
Top Bottom