Bia zimepanda bei

kati ya watu tunaoibiwa ni watanzania kila bajeti inapotangazwa bia inaongezwa kodi kwenye lita wakati hakuna bia inayouzwa lita bia kubwa inaanzia kwenye nusu lita huu ni wizi wa kimachomacho
 
Bado stock ya senetor inasoma 1,200/=,plisner 1,500/=,ngoja nihamie for the meanwhile,nikisubiri finali ya world cup.
 
The Super Eagles out!Eagle beer 1,200/= bado tujifariji.
 

Maji ya Mende
 
karibu kitu cha spirit of the nation aka product ya tanzania distillers
 
shikamoo viroba!
beer moja napiga mix na kiroba laZIMA malengo yatimie
 
Ikifika beer moja 10,000 itakuwa raha sana.
 

Niulizie Yale mamboyetu ya flavour mbalimbali nayo yamepanda .....???maana watakuwa wameidhinisha ukimwi
 
Nilianza kunywa bia kwa sh.750 /-&800/- malengo niache bombe ifikiapo bei 1500/- sasa ni sh.2200/--2500/- bado napiga mbeta.
.
 
Kunywa beer 1 na viroba 5.steam tosha kabisa.
 
Nilianza kunywa bia kwa sh.750 /-&800/- malengo niache bombe ifikiapo bei 1500/- sasa ni sh.2200/--2500/- bado napiga mbeta.
.

mkuu mimi nilianza kunywa beer mwaka 1996 ndio kipindi hicho namaliza form four bagamoyo sec
_beer ilikuwa 600
2000 pombe tatu na chenji inarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…