BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,366
Inainekana umemind sana, Viroba bei cheee af stim za kumwaga
Natamani bei ya bia ingebadilishana na ya cement.
bia moja = 16,000/=
cement moja = 2,000/=
Sasa mbona umeweka bei tofauti badala ya moja inayolingana?au neno 'kulingana' lina maana gani kwako?
Natamani bei ya bia ingebadilishana na ya cement.
bia moja = 16,000/=
cement moja = 2,000/=
Sasa mbona umeweka bei tofauti badala ya moja inayolingana?au neno 'kulingana' lina maana gani kwako?
Mbona hiyo bei ndogo,wenzio hunywa bia kwa sh.4000
Bora kunywa gongo tu, tena siku hizi hadi kwa mama muuza anaweka TV;
Kwa hiyo wewe ukibadilishana kitu na mtu lazima kilingane na chewewe mmebadilishana?
Kama ni kibiashara ndio lazima thamani ilingane kama sio kibiashara vyovyote vile ni poa
Mbona hiyo bei ndogo,wenzio hunywa bia kwa sh.4000
Natamani bei ya bia ingebadilishana na ya cement.
bia moja = 16,000/=
cement moja = 2,000/=
Kosa la shem?nilikua na elfu kumo nikapata bia nne tu. hasira napeleka kwa waif
Mbona tutakoma,itabidi sasa hivi niwe naanzia Polisi Mess halafu ndio najichanganya kwenye viwanja vya kawaida.
point!