Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,733
Kwa heshima aliyonayo huyu mama sifikirii kama ni 'adabu' kuleta mada ya namna hii (kujadili muonekano wake). Anyway labda ndio uhuru wa kutoa mawazo huu!
Uhuru wa mawazo una LIMITS... zake... FREEDOM OF EXPRESSION....
Kwa mfano huwezi kutoa maoni ya kuvuka mipaka ya kumdhalilisha mtu....
Ila kumtamani mtu si kuvuka mipaka, inategemea huo uhuru wa mawazo unawakilisha kwa vitendo kama kweli unamtaka... ukitumia busara unapata utakacho.... MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA...!!
