Bi. Usu Mallya


TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
8,944
Likes
299
Points
180
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
8,944 299 180

Akiwa na Uso wa furaha,, look, how pretty she is!


Hapa akiwa na huzuni,, Oh my :(


Akiwa makini kusikiliza,
Hapa akisisitiza jambo,, cute, huh?

Ngoja niishie hapo. Ila huyu Maza 'ako M-cute Bana. Hivi ameolewa eeh?
Kazi ya Mungu ipewe sifa hata kama ni ya siku nyingi!Wenu katika Ujenzi wa Taifa,
TANMO.
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,004
Likes
5,178
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,004 5,178 280
Siamini kama picha zimeshaisha duniani, kama una mmaindo m-pm
 
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,147
Likes
101
Points
145
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,147 101 145
Ni mkeo? What is special on her?
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,004
Likes
5,178
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,004 5,178 280
afu ameshalaza kalenda nyingi sana................
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,105
Likes
14,153
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,105 14,153 280
Mmmh jamani mnamatamni hata huyu Mama wa watu?? Kweli ukubwa dawa
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,004
Likes
5,178
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,004 5,178 280
Mmmh jamani mnamatamni hata huyu Mama wa watu?? Kweli ukubwa dawa
wanasema eti macho hayana pazia...............LAKINI HAPA NOMY
 
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,225
Likes
2,597
Points
280
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,225 2,597 280
Kwa heshima aliyonayo huyu mama sifikirii kama ni 'adabu' kuleta mada ya namna hii (kujadili muonekano wake). Anyway labda ndio uhuru wa kutoa mawazo huu!
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,343
Likes
38,356
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,343 38,356 280
Womanizer wa vikongwe tumwiteje?
Mpole, katili, mchawi au mshirikina?
 
M

Mzee wa fund

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
518
Likes
1
Points
0
M

Mzee wa fund

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
518 1 0
Umenikumbusha tangazo la Coca cola"THE END IS NEAR"
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,004
Likes
5,178
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,004 5,178 280
Hata mie nampenda sana. She is cute, great natural hair and brains mob! Unajua its rare for a beautiful woman kuwa na akili, am just saying!
hii imekaa njema
 
D

dotto

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Messages
1,722
Likes
20
Points
135
D

dotto

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2010
1,722 20 135
Hawa watetezi wa haki za kibinadamu mnawapenda kuwamaliza au?? PAle Musoma mmoja wa kiume no more juzi juzi tu!!
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,004
Likes
5,178
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,004 5,178 280
Wamewagekia hawa? mh! kazi ipo ilianza kwa waandishi...............
 

Forum statistics

Threads 1,214,691
Members 462,829
Posts 28,520,052