Bi Odinga: Nilikosea Olduvai ipo Tanzania

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Mwanawe aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya, Raila Odinga, Rosemary, amekiri kuwa alikosea alipodai kuwa bonde la Olduvai Gorge liko Kenya ilhali liko Tanzania.
''Bonde la Oldupai ama Olduvai liko Tanzania, nimekubali kuwa nilikosea nilipokuwa nikihutubia mkutano wa viongozi wa vijana kutoka kote duniani nikiwa New York Marekani(International Young Leaders Assembly).
''Nahisi kama ambaye nimewakosea ndugu zangu kutoka Tanzania''.
''Nia yangu ilikuwa ni kusema kuwa nilipokuwa mdogo nikienda shuleni nilifunzwa kuwa fuvu la mtu wa kale lilipatikana Olorgesaiile eneo la Kajiado.
Kenya ilhali liko Tanzania.

Nisemeje ,,nawaombeni radhi Watanzania.
Olduvai Gorge iko salama wala haijanyakuliwa na kenya
'Katika ile hali ya undugu naomba kuwanyoshea mkono wa amani kwa sababu mwisho wa siku Afrika mashariki ndio kitovu cha ubinadamu'' alisema bi Odinga kupitia mtandao wake wa Instagram.
Tamko lake kuhusiana na bonde hilo la Olduvai (Oldupai) lililoko Tanzania lilihusiana na mada ya siku hiyo.

chanzo: BBC
 
Daaah nataman kumtusi, wakenya ni kawaida yao, hta Tanzanite wanaongoza kwa kuuuza wakat inachimbwa Tz.
 
Wale watu watafutaje kwenye akili zao, kafanya makusudi tuu.
 
Alifanya makusudi kwa kujua.."....I therefore consider all of you Kenyan...", that was an accident?! Just admit ur malicious intent u viper
 
Duh! Wabongo noma wamevamia instagram yake kama siafu, wanamwaga mitusi balaa.
 
Haaaaaaaa...aibu yao...
Ningeona kuna hata harufu ya ukweli kama angeweka nakala ya kuomba masamaha kwa hadhira aloidanganya. Alowahutubia wajua alichowaambia na bila kujianika kwao kuwa alidanganya hii ya huku geresha tu. She is not the first and I believe she was even paid to lie.
 
Duh Akosee Mmoja uchukie Nchi Nzima? wewe ni Mzima kweli mbona unakuwa kama Donald Trump kuwachukia Waislam wote....
Aliekula tunda ni adamu na hawa, but adhabu ni wanadamu wooote until now tunashika adabu yetu. so amekosea huyo mke mdogo wa odinga adhabu ni kwa wakenya wooote... mama zao hayo manguruwe poli
 
Na tunaomba serikali yetu, mseme kitu mtoe "TAMKO" hili suala lisiishe hivi hivi hatutawaelewa hata kidogo. hawa wakenya wasituzingue
 
Back
Top Bottom