Bi Odinga: Nilikosea Olduvai ipo Tanzania

Bi Odinga: Nilikosea Olduvai ipo Tanzania

Mathafaya to you Rosemary......

U have proved the speech of yo president....

Anyway..... You are a thief
 
Hana lolote, aitishe mkutano tena ili akiri sio kwenye account yake..
 
Wabongo wamemchamba binti wa watu Instagram ad katubu hahaha..alikua kazoea comment 6 sahv Comments hadi 1000 atajuta kumes na waTz
 
Hio
Na wamemsuuza haswaaa!! Yaani hawajambakisha hata kucha!! Nahisi kuna watu walifungua akaunti za insta kufanya hilo tuu!!
Chakubimbi ameipata fuleshi Tangopori
Bado haitoshi, anapaswa kuandika barua kwa sekretarieti ya ule mkutano kueleza kwamba alikosea na kuweka kumbukumbu sahihi ulimwenguni. Kama si yeye kufanya bodi ya utalii ifanye hivyo, Bodi ikikaa kimya mimi kama RAIA wa nchi hii nitajitoa kufanya hivyo!
 
Wabongo wamemchamba binti wa watu Instagram ad katubu hahaha..alikua kazoea comment 6 sahv Comments hadi 1000 atajuta kumes na waTz


HA HA HAA kakimbia akaunti yake amefungua nyingine hapana chezea wabongo
 

Attachments

  • Screenshot_2016-03-02-00-41-42.png
    Screenshot_2016-03-02-00-41-42.png
    11.8 KB · Views: 33
Dah nguvu inayotumika na wabongo insta ingetumika kutangaza utalii wetu tungekuwa mbali sana,
Sasa wewe ndo umeongea.Watu wanaona sifa kumtusi maskini binti wa wenyewe Rosemary Odinga.Watz wengi tu,mwanamke mmoja?Tena hotuba yenyewe akiongelea ya Olduvai ilikuwa sijui ya mwaka jana!Afu cha kushangaza watz wote Olduvai hamchoki kuiongelea wakati hii habari ya Olduvai haipo kwa media yeyote Kenya.Hata gazeti za umbea mitaani!Hamkujua Olduvai iko wapi nini?Sisi wakenya tunajua.Mnadhihirisha akili za kibongo ni finyu kupindukia.Jamani wakenya tunatesa,watu wamekondoa macho wanatutazama tukikohoa mnaruka na kustuka!Kudadeki!Kenyan supremacy!Nyie bado vitoto tu,sisi Kenya ndo babkubwa!
 
Duh! Wabongo noma wamevamia instagram yake kama siafu, wanamwaga mitusi balaa.
Haha wabongi ssiku hizi wanatisha ssna kwenye social media..wana umoja... walivami.fb page ya genki ndani 6a dakika ikawa imejaa kommenti za kiswahili
 
Donald Trump alishawaambia wakenya ni majizi na matapeli. Bidada ameishafanya damage kwenye international stage na sasa anakanusha kwenye ka instagram page kake. WTF
 
Haha wabongi ssiku hizi wanatisha ssna kwenye social media..wana umoja... walivami.fb page ya genki ndani 6a dakika ikawa imejaa kommenti za kiswahili
Nimeona mwenzio anasema eti ujumbe umefika kimataifa wakati kommenti,kama unavoziita ni za kiswahili?Nyie ndo mnajifunza tu.Wakenya sisi hatutusi mabinti wa wenyewe.Sisi CNN,S.A kwa ujumla pia Nigeria tuliwavamia twitter sasa hivi wanajua K.O.T(Kenyans on Twitter) ni nini?CNN na waS.A hadi wakaomba msamaha.Ujumbe kupitia mtandao hadi uuone kwenye 'international media' ndo utajua umefika kimataifa.Kama mnataka kujua umoja wa wakenya KOT achaneni na binti wa wenyewe.Vamieni wakenya kwa jumla mtajua kilichomtoa kanga manyoya!Anzeni [HASHTAG]#someonetellkenya[/HASHTAG] kwa twitter ila sidhani itatrend kimataifa,siunajua watz na kiingereza ni kama maji na mafuta?Ngumu kupatana!
 
Aliekula tunda ni adamu na hawa, but adhabu ni wanadamu wooote until now tunashika adabu yetu. so amekosea huyo mke mdogo wa odinga adhabu ni kwa wakenya wooote... mama zao hayo manguruwe poli
Aisee
 
at least hata ameomba msamaha
 
Back
Top Bottom