Bht, JS, and Pretty in action

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,210
113,497
Hapo mwanzoni mwa video JS ndio huyo wa kushoto aliyevaa spandex nyeupe..wa katikati ni Bht aliyevaa hicho ki daisy duke cheupe na wa kulia aliyevaa hicho ki top cha majivu ni Pretty...:becky::becky::becky:

NB: Na huo msamba wa JS ...hhhmmmmmm

Sasa wadau hebu nipeni maoni yenu...nani mkali?
 
Last edited by a moderator:
........Yaani we Nyani weweeeeeee una vituko kweli kweli, aiseeee nimeishia kucheka tu.:rofl:
 
........Yaani we Nyani weweeeeeee una vituko kweli kweli, aiseeee nimeishia kucheka tu.:rofl:

Nimeona mavitu yako lakini....good job!! Machizi wangu hapa wamekumwagia misifa kibao...
 
Hapo mwanzoni mwa video JS ndio huyo wa kushoto aliyevaa spandex nyeupe..wa katikati ni Bht aliyevaa hicho ki daisy duke cheupe na wa kulia aliyevaa hicho ki top cha majivu ni Pretty...:becky::becky::becky:

NB: Na huo msamba wa JS ...hhhmmmmmm

Sasa wadau hebu nipeni maoni yenu...nani mkali?

JS ni mkali babu............Anatisha aisee
 
Last edited by a moderator:
hivi ni kwanini wadada wanapenda kuchezesha makalio yao hivyo?
 
Duuh NN sikuwezi nimeishia kucheka tu hapa mpaka watu wananiona kama chizi vile............lol
 
Staili moja tu, nimepoteza dk3sekunde18 za bure. next time Bht, JS, and Pretty muwemnachange stail basi.....sio kutetemesha mananihino tu mwanzo mwisho....
 
namsubiri bht aje atoe comments hapa maana ndo mwanzo huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom