Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Wapenzi marafiki nimeona si vibaya ku share na nyinyi hii.Bhoke ndie anatuwakilisha bba. na wako wasichana saba vijana watano, mnafikiri kwa kuweka wasichana wengi itasaidia msichana kushinda?
Bhoke-Tanzani-2.jpg
Hizi LIPS za Bhoke dah!!
 
Mhhhhhh! Freemasons kazini. Na kama kawaida ya dunia, hakuna kitu kinachokosa wafuasi kiwe kizuri au kibaya. Sodoma na Gomora live bila chenga!!! Hata kwa mtutu siwezi kufuatilia bba.
 
PHP:
Wapenzi marafiki nimeona si vibaya ku share na nyinyi hii.Bhoke ndie  anatuwakilisha bba. na wako wasichana saba vijana watano, mnafikiri kwa  kuweka wasichana wengi itasaidia msichana kushinda?

Kama hatatuangusha kama yule aliyetangulia ambaye baadaye alidai kapata bwana kule Nigeria na kuvua nguo bila mpangilio.....................huenda tukatesa safari hii........vinginevyo tuandike maumivu tu..........................................
 
Wapenzi marafiki nimeona si vibaya ku share na nyinyi hii.Bhoke ndie anatuwakilisha bba. na wako wasichana saba vijana watano, mnafikiri kwa kuweka wasichana wengi itasaidia msichana kushinda?
Bhoke-Tanzani-2.jpg

From watching her on TV and seeing her in some corners of town, she really has an amiable personality. I personally believe she will do good as long as asimdondokee mtu mle jengoni (na itakua ngumu mana the guys wako nondo hasa) - coz kama tunavyojua love inakufanya ufanye crazy things ambazo hata wewe mwenyewe hukutarajia. Nakumbuka a brother of mine alikua anataka sana dada yetu last time atoke akilalama na kuhofia atashawishika kuvuka mpaka kwa madai eti hatutaki wamuadhirishe dada yetu, its beta hata ashindwe!
 
Habari zenu wadau,nilikuwa nikifuatilia kwa karibu sana juu ya nani atakuwa mwakilishi wetu ndani ya bba,jana wakati naangalia EATV kipindi cha friday night live ndo nikapata hizo newz kwamba yule dada anaye present kipindi cha 5connect dada BHOKE ndo atakuwa mwakilishi toka Tz,all the best dada yetu tuwakilishe vyema.
 
1st she is beautiful..

Second for some reason
Kuwa na wasichana wengi kwenye
program yeyote ni kivutio sana..
Na hii ni biashara tu kwa hiyo watachangu
Watu wenyewe sifa fulani au uzuri kufani
Ili watazamaji (target audience) wai enjoy hiyo
program na wawe na hamu ya kufuatulia...
Chakula ya wakubwa!
 
imetulia...mi penda hiyo pia AD

hahahah lol
mimi penda wewe sababu wewe penda yule ..
sasa mimi penda kupa wewe thanx au like
lakini invisible yeye chukua yote thanx na like..
mimi anza penda tena Invisible kama yeye rudisha thanx..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom