Bhagdad ft Roma ft Snura "k ni k"

Kwan Roma ajipendi kipindi cha jk alimchana kwanzia kichwan mpk kwenye unyayo ss HV hawezi subutu kumchana magu kwan jelaa apaogopi yy
kweli mkuu hawezi kumchana mtukufu maana hajaribiwi labda asubiri muda wake upite
 
Nani kapitia JKT kama mimi....
Kuna chenja flani inaitwa K ni K

"K ni K we...kondom salama kondom...ah tutumie we...kondom salama kondom....K kubwa we...kondom salama kondom....K ndogo we...kondom salama kondom...
hii idea itakua alisikia hilo chenja ndo ikamjia
 
Naona ROMA anapotea taratibu, mithili ya mshumaa uteketeavyo katikatikati ya moto.
 
bonge la track honestly
huu wimbo hauna tofauti na chura aisee..
bangi mbaya sana inaonekana kuna lines walizifikiria wakazipiga chini..

kukojoa k
na k*nya k pia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
imekaa kama kisingeli,inachezeka ila ujumbe 0
Msaga sumu na man fiongo, naona wanazidi kuwaamisha wasanii wa bongo.
Mafanikio ya haraka daima huwa hayadumu.
Ngoja atafute nanachokitafuta huko kwenye singeli, atakipita.
Natahidi kuwaza sijui kuna siku NAS au Jay Z watakuja kuimba blues.....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…