shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,337
Na hapo ni chumbani kwenu au .....?...
POLE SANA ..NENDA POLISI...LAKINI NI KAMA UGOMVI WA KI UCHUMBA VILEEE..Anaitwa Eneza Kitilya
Alisoma hedaru, galanosi na Russia
Anapendelea kukaa mabibo, makongo, mlimani city na alionekana mbeya.
Alienda maSomoni Russia ila huenda hakumaliza kwa sababu za uzembe na starehe.
Jamaa amekuwa tapeli, mwizi na jambazi kubwa hapa tanzania hasa hasa dar.
Kwa wanaume anawaingia na gia ya kuwakopa, kwamba ni daktari au yuko intern muhimbili. Anatoa sababu yoyote ili apatiwe fedha. Ukimpa hutamuona tena. Amewaliza watu wengi ninaowajua na wakati mwingine kuwafanyia unyang'anyi.
kwa wanawake anatumia gia ya ndoa ili kuwaingia kirahisi (alishajiandaa kuniibia alinivika Pete fake ila kwa bahati nzuri hela yangu huwa haitoki kirahisi Hivyo hakuniibia hadi pale nilipotahadharishwa na rafiki aliyetapeliwa naye).
Imagine alimuibia hadi rafiki yake. Aliiba documents za safari akadai hatazitoa hadi rafiki yake amlipe hela. Huyu aliyetapeliwa passport aliambiwa atoe laki 2 ndipo apewe documents zake bila kujali kwamba ni rafiki yake wa karibu.
Inapoelekea amefikia level za ujambazi kwa maana hana kazi ya kufanya hivyo unyang'anyi na utapeli ndio kazi yake.
Tumuombee pepo lililompata limtoke maana alikuwa bright sana shuleni. Ameharibikia huko Russia alipoenda.
Swali la kizushi: hivi Russia kuna tatizo gani maana wengi wanaoenda kusoma huko wakirudi wanakuwa frustrated, alosto na Tabia nyingi mbaya? hebu mfunguke tusije mhukumu jamaa kumbe mfumo ndio ulimharibu.
We mpare uwe unatoa hela kirahisi bhana,usizishikilie peke yakohata mimi ninashangaa. taifa limepoteza kichwa cha maana maana hata baba yake ni mtu wa kutegemewa (sijui kama bado yuko hai). Top 3 ya darasa kwa olevel alikuwa hakosi. high school ndio alipata marks mbaya (div 3 mbaya hadi kuamua kwenda russia).
Nakadori inaonekana ulidinywa wewe sasahivi unaweweseka!hahhahaaWe mpare uwe unatoa hela kirahisi bhana,usizishikilie peke yako
Ahahaaaaaa, ni kuhusu kumtia eeh, HAPO LAZIMA ALIMTIA, TENA WALITIANA HASWAA!!!Alikuvisha pete...?
Hmm....ninapatwa na kishawishi cha kuuliza swali ambalo unaweza kuhisi ni swali gani.
Ila kama alifanikiwa kwenye hilo basi lengo lake lilitimia!
Hajakupiga nao?Pete nilivishwa ndani ya wiki moja ya mahusiano ambayo sikuyaelewa maana kumbe tatizo lilikuwa apate njia ya kula hela. Alianza kuomba hela (mfano nataka nilipe Ada ya Dogo ila atm nimeshau home nikopeshe tukirudi nitairudisha, mama anataka hela akalipie
kitu flani ila sina hapa nilipie nitakupa kesho). ubahili wangu ndio ulioniokoa
Yani wewe mdada lol!Na hapo ni chumbani kwenu au .....?...
Swali zuri petra,tumahukuru kwa taarifa,ila ukweli ni kwamba ata kama amekula mzigo hauwez kiri hilo!!ao jifariji umenusurika kutapeliwa hela then ukasahau kuwa umeliwa dryNa hapo ni chumbani kwenu au .....?...
We ni empty set. Umejaa karafuu na mdalasini kichwaniNahisi ukweli upo wazi.
Kama JF inakuwa sasa mtu na mwenzie wameshindwana huko anakuja na hadithi za ajabu kama hizi hovyooo
Yaania Madada woote walio comment kwenye post hii,hakuna hata mmoja anaekubaliananae
Na kila mmoja ameonyesha kwamba kuliuwa na mahusiano mpaka yaliyofikia kuvikwa Pete ya Chukuchuku
Hapa itakuwa umepigwa chini,jamaa amechukua dem mwingine ndio hasira zako unaleta huku na huku pia tunakuzingua vile vile kwamba post yako inaboa.
Preta mdada mwenzio amekuchana live tena kwa kukustahi kimtindo ila unapanic.
Waliotapeliwa wao kimyaaa,ila wewe inakuuma zaidi maana umetapeliwa kimapenzi.Na mbaya zaidi umekurupuka kuandika,Pete ya uchumba in one week,aiseee we unaona wooote humu watoto
Mshahara wa dhambi ni mauti,kuwa mpoleeeee,Jamaa angekuwa tapeli angekuwa ameishakamatwa,maana hakimbii mtu na inaonekana anapatikana kiurahisiii
Malizaneni huko msitumaliziii wino.
Wewe na Apologize Lady muuza maziwa woote wale wale