Beware of any newz from Mbeya Today.............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Beware of any newz from Mbeya Today..............

Discussion in 'Jamii Photos' started by Amavubi, Feb 21, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,498
  Likes Received: 4,765
  Trophy Points: 280
  IMGP7315.jpg
  Jamani habari ya kutoka Mbeya leo muihakiki mara mbili maana blog moja imetaarifu kwamba waandishi wa huko wamepigwa maji ya mende leo na TBL..............HAPA NI WAKATI WANAANZA TU...na unaweza kuona katika hali ya kawaida mtu hawezi kuwa na glass zaidi ya moja mbele yake.........ikiashiria dalili za network ya Muumba kutoweka na kusheheni ya TBL.............
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Hatiendi kupiga pwombe leo?
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hatari lakini lasama
   
 4. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acha roho ipate kitu inapenda wewe
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,498
  Likes Received: 4,765
  Trophy Points: 280
  ..........wako (wa pili kutoa kushoto) mwandishi-Mbeya..........mkuu naona umewakilisha vyema hapo............
   
 6. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapo ni 4 shorts kwa kwenda mbele
   
 7. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Note book zitasahauliwa...TBL noma yaani hadi wame wa brand na T shirt.
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Biashara ni ujanja!!!! Si mapesa mengiiiiiiiiiii na shule kubwaaaaaaaaaaa
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hahahaaaah hii habari imetulia, inaonyesha ni SAFARI LAGER

  [​IMG]
   
 10. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndo waandishi wa siku hizi hao, hivi hata kama kuna habari nyeti hapo unategemea watoka na nini hapo? Kama si kusifia tu na kuacha news yenyewe! Ndo hawa wa aaaaaaaaiiiittttttttvvvvvvvvvvv!
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Tisije lala kwa boma ya mama mukwe!
   
 12. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,559
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ni blog ipi
  huyu wa mwanzo ni mwandishi wa tanzania daima mbeya .anaitwa Nyanyembe kama sikosei

  aibu hii watu wa press
   
 13. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hawa ndio Pasco & co. watu wa mshiko; bila brown envelope hakiandikwi kitu kuwajuza wananchi!!
   
 14. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Aibu tupu, mwangalie huyo wa ktkt. Ana shati, na koti halafu wamemvisha na fulani huu. Kisa hizo bilauri, na huyo dada sijui ndo mTBL maana naona kama anawasanifu vile "kwisha habari yao". T-shirt juu ya koti la suti!!!!
   
 15. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,498
  Likes Received: 4,765
  Trophy Points: 280
  IMGP7294.jpg
  Michuzi ya leo cheki kwa maoicha mengine kibao..yaani hapa walianza na glass baadae wakapelekwa kugonga ile ya direct MOJAKWAMOJA........TOKA BOMBANI ...............
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wameambiwa watest kila brand nini maana naona glass tatu mtu mmoja!
  Inanikumbusha nilipoenda Coca kama denti miaka iyo walitupa brands zote kutest alafu tuwape comment kuna dogo aligonga kama chupa kumi
   
 17. G

  Ginner JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  Kwann isiende..na leo na pesa mingi kuliko jana
   
 18. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Sasa funda moko halijawaumbua kweli
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 20. 1

  19don JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hii si mida ya KAZI kumbe funda 1 linaruhusiwa kazini basi raha
   
Loading...