Beware of any newz from Mbeya Today..............

View attachment 47840Jamani habari ya kutoka Mbeya leo muihakiki mara mbili maana blog moja imetaarifu kwamba waandishi wa huko wamepigwa maji ya mende leo na TBL..............HAPA NI WAKATI WANAANZA TU...na unaweza kuona katika hali ya kawaida mtu hawezi kuwa na glass zaidi ya moja mbele yake.........ikiashiria dalili za network ya Muumba kutoweka na kusheheni ya TBL.............
Huu ni udhalilishaji wa taaluma. Si vibaya kwa mwandishi kuwa mnywaji, lakini mnapofanya ziara kwenye taasisi kama taasisi, ni vema kukubali, kwanza, kuvalishwa mat-shirt kama ilivyofanyika hapa na pia, kugeuzwa ninyi kuwa nio wakemia wa kampuni ya bia. Kulikuwa na mambo mengi ya kufanya kuonyesha ushirikiano kati ya kampuni na waandishiw a habari, lakini hili si mojawapo
 
Back
Top Bottom