Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,544
- 23,844
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu
Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world