Betting: Arsenal 4 -2 Man U (Nov 10, 2013)

Betting: Arsenal 4 -2 Man U (Nov 10, 2013)

natumai mambo si mabaya kwa Arsenal washika mtutu naipenda Chelsea ila nataka huyu shetani afekwake leo naomba hivyo
 
TOTENHAM,CHELSEA,MAN CITY,wanazidi kuisafishia njia Arsenal
 
najua kabisa wewe ni man utd from old trashford kwa hiyo kiroho kinadunda dunda..

hawa wetu kaka tunawabandua tu leo!nawe najua kabisa wewe ni man city toka etihad naona umekaliwa kooni na sunderland mpaka dk hii ya 86 uko nyuma kwa kimoko
 
View attachment 120594[/QUOTE Matches
« Previous Next » 09/11 Liverpoo 4 - 0 Fulham
09/11 Southamp 4 - 1 Hull Cit
09/11 Norwich 3 - 1 West Ham
10/11 Tottenha 0 - 1 Newcastl
10/11 Sunderla 1 - 0 Manchest
10/11 Swansea 17 : 10 Stoke Ci
10/11 Manchest 17 : 10 Arsenal
23/11 Everton 13 : 45 Liverpoo
23/11 Stoke Ci 16 : 00 Sunderla
23/11 Newcastl 16 : 00 Norwich



Regular Season # Team P
1 Arsenal 25
2 Liverpool 23
3 Southampton 22
4 Chelsea 21
5 Everton 20
6 Tottenham Hotspur 20
7 Manchester City 19
8 Manchester United 17
9 Newcastle United 17
10 West Bromwich Albion 14
11 Aston Villa 14
12 Hull City 14
13 Cardiff City 12
14 Swansea City 11
15 Norwich City 11
16 West Ham United 10
17 Fulham 10
18 Stoke City 9
19 Sunderland 7
20 Crystal Palace
 
Sijui lkn soka jamani lina balaaa , hawa arsenal sijui ? Kumbe mdebwedo tu
 
Pdidy karibu karibu sana nyumbani kwako hapa.Huu uzi umeanzisha meeenyeewee kwi kwi kwii!nameza kithu Tv ikizimika goli halijarudi kwii kwiii!
 
Last edited by a moderator:
Wenger aomba muda wa nyongeza zaidi????? Haaaaaa kweli mpira unamambo !
 
Pdidy karibu karibu sana nyumbani kwako hapa.Huu uzi umeanzisha meeenyeewee kwi kwi kwii!nameza kithu Tv ikizimika goli halijarudi kwii kwiii!

Dah, Jamaa sijui anajisikiaje!!
 
Last edited by a moderator:
Dak. 90 Man U 1-0 Arsenal. Kamechomekwa na RVP dak. 27 na kamekatikia humo humo, kamekataa kuchomoka. Kuna watu hawana raha, mambo haya mie nimeyakataa.

Kumbe wewe ni "mzalendo" wa old trafford?!kwi kwii bora sie tunaoongea kwa uhuru kuliko Makoye saa hizi kafuraahi ila siku Man Utd akitandikwa utamuona anazunguuka humu ooh tuwe wazalendo ooh Yanga na Simba kumbe roho inamuumaa!Makoye bhana!hongera "mzalendo".
 
Mleta mada vp sasa huwezi kuja kufanya
masahihisho ya kichwa cha habari kiwe
Man United 1-0 Arsenal

Teh teh ha ha ha kwi kwi kwi !
Oops !
 
Kila la kheri jumamosi
bado mchezo mgumu mnaweza kupunguza idadi ikarudi 3 lakini matokeo kamili ntayatoa jumamosi asbh
Pdidy mbona ulikosea sana kukadiria matokeo? Haya njoo uwabembeleze wenzio huku khe khe khe!! leo wame:tape:
 
Last edited by a moderator:
Sawa zombi. Teknolojia sio utamaduni wa mzungu, ni sayansi na inahamishika kutoka jamii moja kwenda nyingine, si kila kitu kilianzishwa na jamii moja tu ya watu, kama unashindwa kuelewa dhana ndogo kama hii sijui kama utanielewa kwa chochote.
Wenzio wanaotumia nguvu kama hizi kutangaza vya watu huwa wanalipwa, wewe umejitolea kufanya bure. Hata iweje Abajalo na Sinza Star ndio timu zetu, kama ukabaji na ubakaji unatukera tutajitahidi kurekebisha hiyo hali. Inaonekana hata mumeo akifilisika utahamia kwa jirani kwa kuwa ni kutamu zaidi, nyie ndio mlioulizwa kati ya mzungu na baba ako bo....
Kuhusu jina kwanza sio la Kizulu, lakini angalau umejua ni la Kiafrika na sina tatizo nalo.
Ni aibu kuona Mwafrika mzima unaandika vitu kama hizo, aibu haswa! Ila kwa vile mko wengi unaona kawaida, si unajua msiba wa wengi?
Teknolojia ndiyo utamaduni wa mzungu...sasa inashangaza wewe unayetaka kutengenesha utamaduni na teknolojia!!!

Chifu, hamjalazimishwa kuchangia humu...hicho kijikampeni chenu hakitafanikiwa...

Endeleeni kushabikia Abajalo, timu la wavuta bange na wakabaji..

Niacheni niburudike na soka la Ulaya..

Uzalendo your asi....jina lenyewe la kizulu...pheeewwwwww
 
Sawa zombi. Teknolojia sio utamaduni wa mzungu, ni sayansi na inahamishika kutoka jamii moja kwenda nyingine, si kila kitu kilianzishwa na jamii moja tu ya watu, kama unashindwa kuelewa dhana ndogo kama hii sijui kama utanielewa kwa chochote.
Wenzio wanaotumia nguvu kama hizi kutangaza vya watu huwa wanalipwa, wewe umejitolea kufanya bure. Hata iweje Abajalo na Sinza Star ndio timu zetu, kama ukabaji na ubakaji unatukera tutajitahidi kurekebisha hiyo hali. Inaonekana hata mumeo akifilisika utahamia kwa jirani kwa kuwa ni kutamu zaidi, nyie ndio mlioulizwa kati ya mzungu na baba ako bo....
Kuhusu jina kwanza sio la Kizulu, lakini angalau umejua ni la Kiafrika na sina tatizo nalo.
Ni aibu kuona Mwafrika mzima unaandika vitu kama hizo, aibu haswa! Ila kwa vile mko wengi unaona kawaida, si unajua msiba wa wengi?

Mphamvu asiwasumbue jamani mvumilieni ni shabiki wa Arsenal huyu ndio maana kawa mkareeee kama pili pili.Mwenzie Makoye kashinda Man utd katulia tulii!Pdidy naye kabinafsisha uzi wake katoka nduuuki!Mphamvu yeye hana pa kwenda tumfariji jamani!eti Mphamvu baba,kwa nini rangi za "ndala" zinafanana na "chama tawala" na za "mnyama" zinafanana na "chama tawaliwa"?haya tuongee mambo ya "nyumbani"sasa uridhike umsahau Van "Vichwa" Persie,kwi kwii!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom