Betting: Arsenal 4 -2 Man U (Nov 10, 2013)

Kama nisivyoipenda Simba kwa kuwa imeanzishwa na mkoloni vivyo hivyo hata haya matimu ya mkoloni wetu siyapendi kabisa, litakalofungwa acha lifungwe tu sina faida wala hasara kwa lile litakaloshinda au kufungwa mtawalia. Kwa kushabikia haya matimu tunatangaza kuwa sisi bado ni watawaliwa hata kama tuna uhuru wa bendera.
Dawa iliyopo kwa mtu mwenye mawazo na fikra kama wewe ni kukuhurumia tu kwa vile unaonekana hujitambui.

Mazingira ya kidunia ndiyo yatakufunza na kukubadilisha.

By the way, hivi umewezaje kuweka hii comment?.
 
Kila la kheri jumamosi
bado mchezo mgumu mnaweza kupunguza idadi ikarudi 3 lakini matokeo kamili ntayatoa jumamosi asbh
Mchezo hauna uelekeo. Anything can happen lakini mwaka huu hardcore wa Manu U wanaonekana kuweweseka na game hii.
attachment.php

Good spirits: Arsenal face Manchester United in a huge game at Old Trafford on Sunday
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    47.7 KB · Views: 258
Arsenal yetu msimu huu very promising ila tunatakiwa tuendelee kuonyesha ubabe hasa kwa timu kubwa,tulianza na 'TH','LP'sasa inabidi tufanye ivo na kwa 'MU','CL' na 'MC',leo tuwakamate hawa 'MU'.
 
Napenda sana leo tushinde tena ila manu bwana wanaweza kutugeukia. Mungu ibariki arsenal.
 
ARSELONA ni mwendo wa masaa tu tushuhudie,tuvute subira tupo wengi tunaochanga karata dhidi ya timu yetu,ngoja tuone MIZINGA tulioielekeza OT italeta majibu chanya ama itatulipukiwa wenyewe.
 
Umelazimishwa kuchangia kwenye sports?

Halafu kama vipi tembea uchi basi!! Maana hapo ulipo umevaa pichu imeandikwa 'Made in US'

Cha ajabu zaidi unatumia uchawi wa kizungu kuandika uharo wako huo!

Jitambue arifu...

Kwa majibu haya sina shaka ujumbe umewafikia barabara. Ukweli unauma sana. CC. Mphamvu, mzalendo wa ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Kama nisivyoipenda Simba kwa kuwa imeanzishwa na mkoloni vivyo hivyo hata haya matimu ya mkoloni wetu siyapendi kabisa, litakalofungwa acha lifungwe tu sina faida wala hasara kwa lile litakaloshinda au kufungwa mtawalia. Kwa kushabikia haya matimu tunatangaza kuwa sisi bado ni watawaliwa hata kama tuna uhuru wa bendera.

Ahsante kaka, tumeendelea kuwa mazombi kwa ajili ya hawa Manchester na Barclelona damu, wakati hawajui hata ofisi ya mkurugenzi wa timu inageukia wapi.
Yaani kubaguliwa kote bado tunawashobokea tu weupe, aliyesema tususie na internet akili yake ni fupi kwa kuwa hajui tofauti ya teknolojia na tamaduni.
 
Nimefarijika sana kupitia post hii. CC. Nzi & Company PLC (tafakarini kwa kina kama Great Thinkers na siyo Great Sinkers).
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kaka, tumeendelea kuwa mazombi kwa ajili ya hawa Manchester na Barclelona damu, wakati hawajui hata ofisi ya mkurugenzi wa timu inageukia wapi.
Yaani kubaguliwa kote bado tunawashobokea tu weupe, aliyesema tususie na internet akili yake ni fupi kwa kuwa hajui tofauti ya teknolojia na tamaduni.

Teknolojia ndiyo utamaduni wa mzungu...sasa inashangaza wewe unayetaka kutengenesha utamaduni na teknolojia!!!

Chifu, hamjalazimishwa kuchangia humu...hicho kijikampeni chenu hakitafanikiwa...

Endeleeni kushabikia Abajalo, timu la wavuta bange na wakabaji..

Niacheni niburudike na soka la Ulaya..

Uzalendo your asi....jina lenyewe la kizulu...pheeewwwwww
 
wadau naombeni mnipe time ambayo game inaanza.kwa anayejua!
 
Mchezo hauna uelekeo. Anything can happen lakini mwaka huu hardcore wa Manu U wanaonekana kuweweseka na game hii.
attachment.php

Good spirits: Arsenal face Manchester United in a huge game at Old Trafford on Sunday

majembe
 
wadau naombeni mnipe time ambayo game inaanza.kwa anayejua!

ni uzembe kuuliza maswali kama hayo wakati tayari upo net.?
Jaribu kupitia site hz:
www.soccerway.com
www.livescores
utapata upata news updates, fixtures na standing za league zote duniani mpaka za hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom