Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,987
unajua sio kila kitu unakuja jf kuuliza wakati unaweza ukatufuta kwa mtandao!wadau naombeni mnipe time ambayo game inaanza.kwa anayejua!
poor you!
unajua sio kila kitu unakuja jf kuuliza wakati unaweza ukatufuta kwa mtandao!wadau naombeni mnipe time ambayo game inaanza.kwa anayejua!
unajua sio kila kitu unakuja jf kuuliza wakati unaweza ukatufuta kwa mtandao!
poor you!
ni uzembe kuuliza maswali kama hayo wakati tayari upo net.?
Jaribu kupitia site hz:
www.soccerway.com
www.livescores
utapata upata news updates, fixtures na standing za league zote duniani mpaka za hapa Tanzania.
will be a tough game for united.............. man utd 1-2 arsenalwadau naombeni mnipe time ambayo game inaanza.kwa anayejua!
mkuu inabidi uache kutumia hata internet sababu aliyeigundua ni mkoloni. Itabidi uhamie porini, uvae magome ya miti, utumie mswaki wa miti, haya hiyo miwani umeivaa uitupe na utumie ramli. Ukae huko nyikani ule matunda na mboga. Hata cell phone uitupe. Usitumie TV na mengineyo mengi tu. Hapo ndio utakuwa sio mtawaliwa kama unavyodai
Moja unusu jioninipeni mda wa game
wewe jua man u tunashinda.
wadau naombeni mnipe time ambayo game inaanza.kwa anayejua!
Kanyeni mlale...
Mkuu You made it!! Hawezi kurudi tena kwa hili dongo!!
wadau naombeni mnipe time ambayo game inaanza.kwa anayejua!