Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
Sawa zombi. Teknolojia sio utamaduni wa mzungu, ni sayansi na inahamishika kutoka jamii moja kwenda nyingine, si kila kitu kilianzishwa na jamii moja tu ya watu, kama unashindwa kuelewa dhana ndogo kama hii sijui kama utanielewa kwa chochote.
Hiyo kompyuta mpakato ama simu uliyotumia kuandika hayo juu ni teknolojia ya wana Abajalo ehn? Ebu niambie basi teknolojia ya kompyuta na mawasiliano ilianzishwa na nani?
Kwa hiyo kwa kuwa inahamishika ndiyo inaifanya isiwe utamaduni? Unamaanisha utamaduni hauamishiki ama? Sijui utasemaje na tamaduni za Abajalo kuvaa kata k ili waonekana masela, sijui huo utamaduni wameutoa pale Mashujaa primare?
Wenzio wanaotumia nguvu kama hizi kutangaza vya watu huwa wanalipwa, wewe umejitolea kufanya bure.
Ona sasa. Unajifanya kunifahamu!!
Hata iweje Abajalo na Sinza Star ndio timu zetu, kama ukabaji na ubakaji unatukera tutajitahidi kurekebisha hiyo hali. Inaonekana hata mumeo akifilisika utahamia kwa jirani kwa kuwa ni kutamu zaidi, nyie ndio mlioulizwa kati ya mzungu na baba ako bo....
Hapo ulichoandika ni matokeo ya kushinda Abajalo na kula msuba..mkiwaza siku moja mdusue kwa kucheza Yanga!!
Ni aibu kuona Mwafrika mzima unaandika vitu kama hizo, aibu haswa! Ila kwa vile mko wengi unaona kawaida, si unajua msiba wa wengi?
Ona tena, bado unaendelea kujifanya unanijua? Hata kuongea kwa kufikirika arifu....