Betting: Arsenal 4 -2 Man U (Nov 10, 2013)

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,188
Reaction score
38,578
Kila la kheri jumamosi
bado mchezo mgumu mnaweza kupunguza idadi ikarudi 3 lakini matokeo kamili ntayatoa jumamosi asbh
 
Geuza kinyume united 4 -asenal 2 umekosea kutabiri mkeo ni mkeo tu huna haja kumtongoza
 
Kama nisivyoipenda Simba kwa kuwa imeanzishwa na mkoloni vivyo hivyo hata haya matimu ya mkoloni wetu siyapendi kabisa, litakalofungwa acha lifungwe tu sina faida wala hasara kwa lile litakaloshinda au kufungwa mtawalia. Kwa kushabikia haya matimu tunatangaza kuwa sisi bado ni watawaliwa hata kama tuna uhuru wa bendera.
 
nogesha thread kwa kuahidi kumeza kisu endapo matokeo hayatakuwa hivyo

cc:Mwekundu
 
man u wakifungwa watatia huruma da wana 17 wenzao wana 25
 
Kama nisivyoipenda Simba kwa kuwa imeanzishwa na mkoloni vivyo hivyo hata haya matimu ya mkoloni wetu siyapendi kabisa, litakalofungwa acha lifungwe tu sina faida wala hasara kwa lile litakaloshinda au kufungwa mtawalia. Kwa kushabikia haya matimu tunatangaza kuwa sisi bado ni watawaliwa hata kama tuna uhuru wa bendera.

Umelazimishwa kuchangia kwenye sports?

Halafu kama vipi tembea uchi basi!! Maana hapo ulipo umevaa pichu imeandikwa 'Made in US'

Cha ajabu zaidi unatumia uchawi wa kizungu kuandika uharo wako huo!

Jitambue arifu...
 
Kama nisivyoipenda Simba kwa kuwa imeanzishwa na mkoloni vivyo hivyo hata haya matimu ya mkoloni wetu siyapendi kabisa, litakalofungwa acha lifungwe tu sina faida wala hasara kwa lile litakaloshinda au kufungwa mtawalia. Kwa kushabikia haya matimu tunatangaza kuwa sisi bado ni watawaliwa hata kama tuna uhuru wa bendera.

naona kuna kampeni inaendelea kwa baadhi ya watu kutaka Jf iendeshwe wanavyotaka wao.Post nyingi zinatumwa kwenye nyuzi zetu hizi zinazozungumzia soka ya ulaya kutulazimisha tuzungumzie "mambo ya nyumbani"na kuachana na Arsenal,Juve,Man U,A.C Milan,Barca etc!hapa namuona huyu Makoye kule kwenye uzi mwingine yupo Mphamvu.Nawaosia wanajukwaa la michezo wenzangu,tuwakatae watu hawa.Wameshaharibu jukwaa la siasa na sasa wametufuata hadi huku!Mods sisi si wajinga.Tunahisi something BIG is wrong with JF sasa hivi.My take:wadau wenzangu wa sports akina Nzi,Aleyn,yule jamaa anasemaga khe khee khee,Mourinho,Gang Chomba,Chimunguru,na wengineo weengi naomba tuungane bila kujali itikadi zetu za kisoka kuwakataa hawa na ndio maana mie ni shabiki wa Juve lakini nipo hapa Uingereza leo.tuwakatae watu hawa.
 
Nakuunga mkono mkuu kwa asilimia zote,mimi ni shabiki mkubwa wa UNITED na napenda kufuatilia soka la ulaya kwa ujumla.
Huwa naburudika sana naposoma nyuzi zako unavyoipamba juve,nyuzi za GANG CHOMBA na AC MILAN yake,nyuzi za WACHA1 zilizojaa vionjo vya khe khee kheee! na nyuzi za mkuu NZI,BELO,MFARISAYO na wengineo kwenye jukwaa letu pendwa la MAN UNITED.
Hii ni burudani,tusilazimishane vya kupenda au kushabikia,kama hutaki kujua kinachoendelea ULAYA komaa tu na threads za SIMBA na YANGA.
 
Kama nisivyoipenda Simba kwa kuwa imeanzishwa na mkoloni vivyo hivyo hata haya matimu ya mkoloni wetu siyapendi kabisa, litakalofungwa acha lifungwe tu sina faida wala hasara kwa lile litakaloshinda au kufungwa mtawalia. Kwa kushabikia haya matimu tunatangaza kuwa sisi bado ni watawaliwa hata kama tuna uhuru wa bendera.
mkuu inabidi uache kutumia hata internet sababu aliyeigundua ni mkoloni. Itabidi uhamie porini, uvae magome ya miti, utumie mswaki wa miti, haya hiyo miwani umeivaa uitupe na utumie ramli. Ukae huko nyikani ule matunda na mboga. Hata cell phone uitupe. Usitumie TV na mengineyo mengi tu. Hapo ndio utakuwa sio mtawaliwa kama unavyodai
 
umemaliza mkuu..
 
Back
Top Bottom