Best website design by Tanzania Devolopers

hyle master

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
207
23
Habari wana jukwaa Now days kuna vijana wengi walojikita katika web development some wanafanya vizuri some wanahitaji kujifunza zaidi so lets share website mbalimbali zilizokuwa developed by Tanzania devolopers Ili tuweze kujifunza walichokifanya na kuweza kuwapa changamoto wanao jifunza wanatakiwa wafanye nini.....
 
Kaz nzur mkuu lakn inaweza kuonekana mbaya kesho kwa ukuaj wa technology...
U have a long way to go..
 
wengi MNA edit templates za WordPress,joomla,drupal na cmc nyingine mfano tembelea website izi zote template moja
1:Beka boy
2:Samu misago
2:Milady ayo
Zote ni WordPress templates tu kazi ni Ku edit tu
 
wengi MNA edit templates za WordPress,joomla,drupal na cmc nyingine mfano tembelea website izi zote template moja
1:Beka boy
2:Samu misago
2:Milady ayo
Zote ni WordPress templates tu kazi ni Ku edit tu
kuna ubaya gani ku edit template? tena zinazotumia template kuna uwezekano zikawa na muonekano mzuri kuliko hizo zinazotengenezwa from scratch.

cha muhimu ni kupata output unayoitaka.
 
aliyetengeneza na kuisimamia portal ya NHIF kama ni wabongo nawapa heko
 
Back
Top Bottom