Nadhani ndio jua linakuchwa hivi mkuu!!!!!!!
Hiyo ya mwisho yenye wood finishing ni tamuuu.
Bongo wanatuuzia vitu feki sana. Yani Omega speedmaster kwa laki 2?!!
Hizo saa sio chini ya £ 2,000.
well lets agree to disagree myfriendhio saa yako ni FAKE....laki 2 hata FOSSIL YA MAANA HUPATI.
Omega Watches - From Watches of Switzerland
Hiyo ya mwisho yenye wood finishing ni tamuuu.
Mkuu yule kiongozi wa serikali ya uingereza kaharibu sana vijana kwa ile hoja yake!!!
Yaani wanaume wamekaa wanazungumza yao here comes a shemale na mambo yake! !!!!
ndugu sijui Rolex mnazozionesha hapo ni Original from Switzerland au sijui wapi but kuna duka la saa liko ndani ya plaza moja hapa posta (yenye Le grand Casino) ndugu zangu Rolex ni dola 10000 hadi 16000 tena zinaletwa kwa order sikuamini nikashangaa hizi za laki mbili mtaani zinatoka wapi, kama ww kweli umepurchase genuine Rolex kwa hiyo bei nakupa heshima yako!!! personally ninayo Casio G shock na pia napenda Swatch (ambayo ntanunua karibuni) kama mwanafunzi anavyopenda wali arage!
Reyne Haines listed a price estimate of Rolex watches that ranged between $650 and $75,000, while listing Tudors between $250 and $9,000.[24] The most expensive Rolex ever produced by the Rolex factory was the GMT Ice reference 116769TBR with a retail price of $485,350.00
kariakoo zinauzwa sh 5000.
Kaka hiyo ni clone aka mchina Original!!!
Philip Persio QUARTZ
well lets agree to disagree myfriend
Mimi brand yangu hii hapa nazaidi ninazo nauza 250, 000/Habari za Weekend Wakuu,
Embu leo tuambiane brand gani ya saa ya mkononi ambayo unaipendelea ukiangalia vitu kama quality, price na design.
Mimi nimetokea kupenda brands za saa za mkononi kama Michael Kors, Breitling, Hublot na Mont Blac
Embu tupieni na za kwenu wadau
Picha za hizi brands hizi hapa;
Michael Kors
View attachment 134632
Breitiling
View attachment 134634
Mont Blac
View attachment 134635
Hublot
View attachment 134636
hehe afu fossil napendelea ikae machoni as miwani ..kwenye saa i prefer omega na casio
kwa sasa naitolea macho rolex flani titanium sky dweller used kwa 1,765 $..
asee nikipata hii kitu..ata nitajirike vipi sitonunua saa tena...
kama hii omega yangu unayoita feki nekaa nayo 4 years bila kuchokonoa chochote na haitumii battery,just imagine that rolly
Hahaaaa mie bado kijana Sana kwakweli ila najikuta tu nakua nakosa ham Kama ile zaman sijafika 32!! Sidhani Kama Mimi ni mzee hadi sasa nina saa 5 tofauti na kuvaa tu inaweza kufika hata mwezi sijavaa hata moja!! Nina snicker 20 pairs Lkn ninazovaa 3 tu