Udsm sasa hivi ni chuo cha kishenzi sana tafauti na zamani, kama mtu umesoma udsm na uko vizuri ni uwezo wako binafsi tu may be uliotoka nao advance na juhudi zako binafsi. Ukisema kwamba udsm kunashule umefanya utafiti na kwenda vyuo vingine au just unasema ilitujue umesoma udsm ..umeenda SUA , ARDHI. SAUTI. UMEENDA MUHIMBILI..JUST THINK... USILOPOKE. BEST STUDENTS ARE AVAILABLE FROM DIFFERENT UNIVERSITIES. NA KAMA KUNACHUO AMBACHO KIMEZALIZA WATU AMBAO WANAAKILI AMBAYO NI CREATIVE KULIKO WENZAO BASI WANYOSHE MIKONO. WOTE VIRAZA TUPO MTAANI TUNASUBILI MAGUFULI ATOE AJILA AU TUNALILIA NA PRIVATE INSTITUTIONS.