Nyie nao muwe waelewa sio unagoogle na kukuta hizo ranks ndio ukanzani in zenyewe. Kiufupi ni kwamba webometric na 4icu sio mashirika yatoa ranks kutokana academic hizo ranks zinatolewa na hiyo mashirika kutokana na web index yaani upatikanaji kiurahisi wa taarifa za chuo kwenye hizo web zao na ndo maana huwezi kuta vyuo kutoka Korea kaskazini index yake ni ndogo. Taasisi ambazo huaminiwa kwa kufanya tafiti kuangalia vigezo tofauti tofauti vya kitaaluma ni.
1. Times Higher Education
2. Shanghai ranking
3. University Ranking by Academic Performance(URAP). Ambao hivi karibuni wametoa vyeti kwa vyuo viwili vya UDSM na SUA.
Times Higher Education walishatoa ranks za afrika hakuna chuo hata kimoja toka TZ japo nilivyofuatilia nimeona hakuna tafiti waliyoifanya toka Tanzania na sijui kwa nini.
Hivyo hizo mlizoeka sio academic rankings Bali ni ranks zilizobase kwenye web index.
URAP - University Ranking by Academic Performance
Hivi ni vyuo vikuu viwili tu vya Tanzania vijulikanavyo duniani?